Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA USIKU; WATU WA KUJIHUSISHA NAO…

By | January 22, 2020

“Associate with people who are likely to improve you.” — Seneca Unapaswa kujihusisha na watu ambao wanakufanya kuwa bora zaidi ya ulivyo sasa. Watu ambao wabakuonesha kipi sahihi cha kufanya, Wanaokuambia ni vitabu gani vizuri ufanye, Wanaokupa mawazo mazuri ya kupiga hatua, Na wasioogopa kukuambia pale unapokosea. Unapaswa kuwaepuka watu (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; KUFANIKIWA, KOSEA ZAIDI.

By | January 21, 2020

“Would you like me to give you a formula for success? It’s quite simple, really. Double your rate of failure.” —THOMAS J. WATSON Kama unataka kufanikiwa zaidi ya pale ulipo sasa, unapaswa kukosea zaidi ya ulivyokosea huko nyuma. Kukosea ni ishara kwamba unajaribu vitu vipya na vikubwa. Kama hukosei maana (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; SIYO WEWE UNAYEAMUA KESHO YAKO…

By | January 20, 2020

“People do not decide their futures, they decide their habits and their habits decide their futures.” – F.M. Alexander Huwa tunajiambia na kuamini kwamba sisi ndiyo waamuzi wa kesho yetu. Lakini huo siyo uhalisia, siyo sisi ambao tunaamua kesho yetu, bali ni tabia zetu ndiyo zinaamua kesho hiyo. Ukijijengea tabia (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; MAFANIKIO YANAPIMWA KWA UHURU…

By | January 19, 2020

“The improvement of man can be measured by the level of his inner freedom. The more a person becomes free from his personality, the more freedom he has.” – Leo Tolstoy Mafanikio yako yanapimwa kwa uhuru uliopo ndani yako. Uko huru kiasi gani na maisha yako ndiyo inaonesha umefanikiwa kiasi (more…)