Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ELIMU MUHIMU UNAYOIKOSA…

By | January 18, 2020

“We live a senseless life, contrary to the understanding of life by the wisest people of all times. This happens because our young generations are educated in the wrong way—they are taught different sciences but they are not taught the meaning of life.” – Leo Tolstoy Kuiona siku hii nyingine (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; UKIWA BORA NA JAMII INAKUWA BORA…

By | January 17, 2020

“Improve your own soul, and be confident that only in so doing can you contribute to the improvement of the larger society of which you are part.” – Leo Tolstoy Watu wengi wamekuwa wanajiuliza wanawezaje kuibadili dunia, wanawezaje kuacha alama kwenye hii dunia. Na jibu ni moja, ni kwa kuwa (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; UNASUBIRI MPAKA LINI?

By | January 16, 2020

“How long are you going to wait before you demand the best of yourself.” – Epictetus Unasubiri mpaka lini ndiyo uanze kujidai na kujisukuma kutumia uwezo mkubwa uliopo ndani yako? Kwa sababu hapo ulipo, kuna uwezo mkubwa sana unao, lakini cha kushangaza huutumii. Na wengi wamekuwa wanakufa na uwezo huo, (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; KAMA HUJAWAHI KUSHINDWA…

By | January 15, 2020

“If you don’t make mistakes, you’re not working on hard enough problems. And that’s a big mistake.” —FRANK WILCZEK Kama hujawahi kushindwa au kukosea kwenye jambo lolote unalofanya, siyo kwamba wewe ni mjanja sana, bali hujajaribu vitu vikubwa. Umekuwa unafanya vitu ambavyo umezoea kufanya. Na hilo ni kosa kubwa sana, (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; IMANI NA KUSUDI…

By | January 13, 2020

“Faith is the understanding of the meaning of life and the acceptance of those duties and responsibilities connected to it.” – Leo Tolstoy, Imani ni kujua maana na kusudi la maisha yako na kisha kupokea wajibu na majukumu yanayokuja na kusudi hilo. Imani haiyafanyi mambo kuwa rahisi, bali inayafanya kuwa (more…)