Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA USIKU; HUNA WA KUMLAUMU…

By | January 11, 2020

“When an arrow does not hit its target, the marksman blames himself, not another person. A wise man behaves in the same way.” —CONFUCIUS Mshale unapokwenda nje ya lengo, mlengaji hana wa kumlaumu isipokuwa yeye mwenyewe. Hivyo ndivyo wenye hekima wanavyoyaendesha maisha yao, Wanajua chochote kinachotokea kwenye maisha yao, hawana (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; MSINGI MKUU WA ELIMU NI UTAMBUZI…

By | January 10, 2020

“The basis of all education is the establishment of our relationship to the beginning of all things, and the conclusions about our behavior which may be drawn from this.” – Leo Tolstoy Msingi mkuu wa elimu ni kujitambua sisi wenyewe na kujua uhusiano wetu na dunia pamoja na asili. Kujua (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; TUMIA AKILI, USIKARIRI…

By | January 9, 2020

“Knowledge is real knowledge only when it is acquired by the efforts of your intellect, not by memory.” – Leo Tolstoy Maarifa bora kwako ni yale unayoyapata kwa kutumia akili yako kufikiri na siyo kwa kukariri. Kwa kukariri unaweza kujua mengi, lakini usiweze kuyatumia. Kwa kufikiri unaelewa vizuri ulichojifunza na (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MAARIFA YA KWELI…

By | January 9, 2020

“Only when we forget what we were taught do we start to have real knowledge.” —HENRY DAVID THOREAU Ni jambo kubwa sana na la kushukuru sisi kuweza kuiona siku hii nyingine mpya ya leo. Tukiweza kuitumia vizuri, tutaweza kufanya makubwa sana leo. Maarifa ya kweli yanaanza pale unaposahau kile ulichofundishwa (more…)