Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA USIKU; FUTA MATUMAINI HEWA…

By | January 6, 2020

“Put at least half of your energy into making yourself free of empty wishes, and very soon you will see that in so doing you will receive much greater fulfillment and happiness.” —After EPICTETUS Kinachofanya tusiyafurahie maisha yetu ni matumaini hewa ambayo tumekuwa tunajipa. Unakuta umejiweka lengo la kupata kitu (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; KIDONDA KISICHOPONA…

By | January 5, 2020

A gunshot wound may be cured, but the wound made by a tongue never heals. —PERSIAN WISDOM Kidonda kinachosababishwa na kisu, mshale au risasi kinaweza kupona na hata mtu kusahau kabisa kuhusu kidonda hicho. Lakini kidonda kinachosababishwa na ulimwi, huwa hakiponi kamwe. Hivyo kabla hujatoa neno lolote lichuje kwanza, kwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; TOFAUTI YA WATU WEMA NA WATU WAOVU…

By | January 4, 2020

“Kind people help each other even without noticing that they are doing so, and evil people act against each other on purpose.” —CHINESE PROVERB Siku nyingine mpya ipo mikononi kwetu. Maamuzi ni yetu kwa namna tunavyokwenda kuitumia siku hii. Ni muhimu tuwe na vipaumbele sahihi ili kuweza kufanya makubwa kwenye (more…)