Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; TEKELEZA KUSUDI LAKO…

By | January 3, 2020

“We have to fulfill honestly and irreproachably the work destined for us. It does not matter whether we hope that we will become angels some day, or believe that we have originated from slugs.” —JOHN RUSKIN Asubuhi njema mwanamafanikio. Kitu kimoja unachopaswa kujua ni kwamba, haupo hapa duniani kwa bahati (more…)

#TAFAKARI YA USIKI; USIISHI KAMA MNYAMA…

By | January 2, 2020

“The life of a person without faith is the life of an animal.” – Leo Tolstoy Tofauti yetu sisi binadamu na mbuzi ni uwezo wetu wakufikiri na kufanya maamuzi kulingana na hali tunayopitia. Wanyama wengine wanaendeshwa na mazingira na miili yao, lakini sisi binadamu tunaweza kudhibiti mazingira na miili yetu (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; SUMU TAMU LAKINI YENYE MADHARA MAKUBWA…

By | January 1, 2020

“The difference between real material poison and intellectual poison is that most material poison is disgusting to the taste, but intellectual poison, which takes the form of cheap newspapers or bad books, can unfortunately sometimes be attractive.” – Leo Tolstoy Kuna aina mbili za sumu kwenye maisha, Kuna sumu ya (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; CHAGUA VITABU BORA VYA KUSOMA…

By | January 1, 2020

There are too many mediocre books which exist just to entertain your mind. Therefore, read only those books which are accepted without doubt as good. —LUCIUS ANNAEUS SENECA Tuna muda mchache sana hapa duniani, lakini vitu vya kufanya ni vingi. Ni muhimu sana kila mmoja wetu kujifunza kupitia usomaji wa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUSOMA HAKUTAKUSAIDIA KAMA HUCHUKUI HATUA…

By | December 31, 2019

“Stop wandering about! You aren’t likely to read your own notebooks, or ancient histories, or the anthologies you’ve collected to enjoy in your old age. Get busy with life’s purpose, toss aside empty hopes, get active in your own rescue—if you care for yourself at all—and do it while you (more…)

#TAFAKARI YA LEO; YASHINDE MAGUMU NA MAJARIBU…

By | December 30, 2019

“To bear trials with a calm mind robs misfortune of its strength and burden.” —SENECA, HERCULES OETAEUS, 231–232 Ni siku nyingine mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Tumeipata nafasi hii nzuri sana kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUHUSU KUKUMBUKWA…

By | December 28, 2019

“Everything lasts for a day, the one who remembers and the remembered.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 4.35 Ni siku nyingine mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Tumeipata nafasi hii nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo bora sana. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA, Mwongozo wetu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIKUBALI ROHO IWE YA KWANZA KUSHINDWA…

By | December 27, 2019

“It’s a disgrace in this life when the soul surrenders first while the body refuses to.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 6.29 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri tuliyoiona leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu (more…)