Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA LEO; AMINI KWENYE MATENDO…

By | December 13, 2020

“Do not believe in words, yours or others’; believe in the deeds.” – Leo Tolstoy Kusema ni rahisi, Kupanga ni rahisi, Lakini kuchukua hatua kwenye yale ambayo mtu anasema na kupanga siyo rahisi. Hivyo unachopaswa kuamini kwako mwenyewe na hata kwa wengine siyo maneno, bali matendo. Usidanganyike na kile watu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MUHIMU NI KUFANYA KILICHO SAHIHI…

By | December 8, 2020

“Just that you do the right thing. The rest doesn’t matter. Cold or warm. Tired or well-rested. Despised or honored. Dying…or busy with other assignments.” – Marcus Aurelius Wajibu wako na kilicho muhimu kabisa kwako, Ni kufanya kilicho sahihi. Mara zote. Haijalishi unapitia hali gani, Haijalishi wengine wanafanya nini, Wewe (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAGUMU YANAKUIMARISHA…

By | December 7, 2020

“Man needs difficulties. They are necessary for health.” – Carl Jung Huwa hatupendi kukutana na magumu kwenye maisha, Lakini magumu hayo ni muhimu sana kwetu, Kwa sababu ndiyo yanayotuimarisha. Mti unaoota eneo ambalo ni gumu, hakuna maji, kuna upepo mkali huwa unakuwa mti imara kuliko unaoota eneo lenye maji mengi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNAHITAJI KUPITA KWA WENGI WASIO SAHIHI…

By | December 6, 2020

“In order to discover one grateful person, it is worth while to make trial of many ungrateful ones.” – Seneca Huwa tunajiwekea mipango mbalimbali, ambayo huwa haijumuishi changamoto tunazoweza kukutana nazo. Lakini kitu kimoja ambacho tuna uhakika nacho ni kwamba changamoto huwa hazikosekani. Tunataka kila kitu kiende kama tunavyotaka sisi, (more…)