Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA LEO; KUNDI HALIJAWAHI KULETA MABADILIKO…

By | November 22, 2020

“At all times it has not been the age, but individuals alone, who have worked for knowledge. It was the age which put Socrates to death by poison, the age which burnt Huss. The ages have always remained alike.” – Johann Wolfgang von Goethe Mabadiliko yote ambayo yamewahi kutokea hapa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KILA KITAKACHOTOKEA KITAKUWA CHENYE MANUFAA KWAKO…

By | November 21, 2020

“Do not be concerned too much with what will happen. Everything which happens will be good and useful for you.” — Epictetus Mara nyingi umekuwa unahofia kuhusu mambo yanayoweza kutokea siku zijazo. Hofu hizo zimekuwa zinakuzuia usichukue hatua ulizopanga kuchukua. Na hilo linakuwa kikwazo kwa mafanikio yako. Kitu muhimu unachopaswa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; ISHI MAISHA YA KISHUJAA…

By | November 20, 2020

“There is no deed in this life so impossible that you cannot do it. Your whole life should be lived as an heroic deed.” – Leo Tolstoy Maisha siyo rahisi, kwa sababu huwa hayaendi kama tunavyopanga na kutaka. Kila wakati unakutana na vikwazo na changamoto mbalimbali. Ili uweze kufanikiwa, lazima (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MANENO YANA NGUVU KUBWA…

By | November 19, 2020

“Words have more power than any one can guess; it is by words that the world’s great fight, now in these civilized times, is carried on.” – Mary Shelley Maneno yana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote anavyoweza kudhani. Maneno yana nguvu ya kuumba chochote. Maneno yameanzisha vita vilivyoua wengi, yamejenga (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAARIFA YALIYO MUHIMU…

By | November 17, 2020

“The most important knowledge is that which guides the way you lead your life.” – Leo Tolstoy Tunaishi kwenye zama za mafuriko ya maarifa na taarifa. Vitabu vilivyoandikwa ni vingi mno, kiasi kwamba hakuna anayeweza kusoma hata asilimia 1 tu ya vitabu vyote. Makala, video na sauti zenye mafunzo mbalimbali (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KINACHOFANYIKA KWA UPENDO, KINAFANYIKA VYEMA…

By | November 16, 2020

“Whosoever loves much performs much, and can accomplish much, and what is done in love is well done!” – Van Gogh Yule mwenye upendo zaidi, anaweka juhudi zaidi na kuzalisha matokeo makubwa zaidi. Kile kinachofanyika kwa upendo, kinafanyika kwa ubora wa hali ya juu. Kwenye KISIMA CHA MAARIFA, imani yetu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SIYO KUFANYA ZAIDI…

By | November 15, 2020

“It’s not always that we need to do more but rather that we need to focus on less.” — Nathan W. Morris Tunaishi kwenye zama ambazo kila mtu anasukumwa kufanya zaidi. Lakini kadiri watu wanavyofanya mambo mengi zaidi, ndivyo wanavyochoka zaidi na kutokufanikiwa. Kwa asili, matokeo makubwa hayatokani na kufanya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NJITI YA KIBERITI HAIWAKI YENYEWE…

By | November 14, 2020

“Each of us is born with a box of matches inside us but we can’t strike them all by ourselves.” — Laura Esquivel Njiti ya kibeririti ina uwezo mkubwa wa kuanzisha moto, lakini haiwezi kuanzisha moto huo yenyewe. Ni lazima isubuliwe na kitu kingine ndiyo iweze kuanzisha moto. Chuma pia (more…)