Category Archives: MAFANIKIO NA HAMASA

KIPAUMBELE; Jinsi Ya Kuweka Kipaumbele Kwenye Maisha Yako.

By | March 17, 2015

Karibu kwenye kipengele hiki cha jinsi ya kujijengea tabia za mafanikio na mwezi huu wa tatu tunajijengea tabia ya kuweka kipaumbele kwenye maisha yetu. Tunaishi kwenye dunia yenye kelele nyingi sana, bila ya kuw ana kipaumbele unaweza kuona muda unakwenda huku hujafanya chochote cha maana. Katika makala hii ya leo (more…)

SIRI YA 50 YA MAFANIKIO; Kuwa Mtu Wa Vitendo. Fanya Vitendo Vingi.

By | March 13, 2015

Unacho kila unachohitaji ili kufikia mafanikio. Unachotakiwa kufanya ni kuchukua hatua, kufanya vitendo. Fanya vitendo vingi sana. Hivyo ndivyo watu wenye mafanikio wanavyofanya. Wanapanga ni wapi wanataka kufika na wanaanza kuchukua hatua mara moja. Mbele ya safari wanajiendeleza ili kuwa bora zaidi. Ndoto yako ni nini? Je upo tayari kuiendea (more…)

SIRI YA 49 YA MAFANIKIO; Tengeneza Maana Nyingine Ya Kushindwa..

By | March 13, 2015

Kama unajua ndani ya nafsi yako kwamba umefanya kwa ubora wako wote hakuna kitu kinaitwa kushindwa. Hii ndio maana kuweka juhudi zako zote ni muhimu sana. Mara zote unashinda pale unapoweka juhudi zako zote. “In great attempts it is glorious even to fail.”  – Wilfred Peterson (more…)

SIRI YA 48 YA MAFANIKIO; Mara Zote Tumia Uwezo Wako Wote…

By | March 13, 2015

Juhudi zako zote ndio zinahesabika. Kama utafanya kwa ubora wako wote, hakuna aibu. Iwe ni kwenye kazi yako au kwenye jamii, au kwenye maisha yako binafsi, mara zote fanya kwa uwezo wako wote. Huwezi kujigakikishia kuwa bora zaidi ya wengine, ila unaweza kujihakikishia kuwa bora kwa uwezo wako mkubwa ulionao. (more…)

SIRI YA 47 YA MAFANIKIO; Jiandae Ili Kushinda.

By | March 12, 2015

Angalia lengho lako lakini wekeza muda mwingi kwenye kujiandaa kwa kile unachotakiwa kufanya ili kufikia lengo lako. Kushinda ni zao la maandalizi mazuri na juhudi. Wekeza kwenye kujiandaa na kuweka juhudi na mafanikio yatakuja yenyewe. “Failing to prepare is preparing to fail.”  – Unknown (more…)

SIRI YA 46 YA MAFANIKIO; Usiwe Na Wasiwasi Na Nafsi Yako.

By | March 11, 2015

Ni rahisi kuangalia nyuma na kuona sehemu ambayo ulikosea. Kama unaangalia nyuma ili kuona ni jinsi gani unaweza kuwa bora zaidi hapo sawa. Ila usipoteze muda wako kujiona kama huwezi. Majibu uliyopata zamani yanatokana na uzoefu wako wa zamani. Kama mambo hayatakwenda kama ulivyopanga tumia uzoefu wako wa sasa kuboresha (more…)

Umuhimu na faida za kuwa na kipaumbele kwenye Maisha.

By | March 11, 2015

Tunaishi kwenye dunia ambayo kuna vitu vingi sana vya kufanya lakini muda ni mfupi. Labda tusiseme muda ni mfupi, bali muda umekuwa ni ule ule tokea zamani ila siku hizi mambo ya kufanya yamekuwa mengi sana. Kadiri maendeleo ya teknolojia yanavyotokea, tunapata vitu vingi sana vya kufanya. Kwa mfano ukianza (more…)

SIRI YA 45 YA MAFANIKIO; Mbinu Muhimu Za Kufanikiwa.

By | March 11, 2015

1. Usimuogope mshindani wako. Mheshimu mshindani wako. 2. Jinsi unavyofanya kazi kwa juhudi zaidi ndivyo unavyozidi kuwa na bahati. 3. Jua vizuri kile unachokifanya. 4. Jijue wewe mwenyewe. Tumia ubora wako. 5. Kupambana na juhudi zitafidia makosa. 6. Kuwa mkweli kwako binafsi. Fuata moyo wako. “I don’t know the key (more…)

SIRI YA 44 YA MAFANIKIO; Uvumilivu Unalipa Sana. Angalia Maisha Ya Mtu Huyu Yalivyokuwa Ya Kukatisha Tamaa.

By | March 10, 2015

Akiwa na miaka 21 alishindwa kwenye biashara. Akiwa na miaka 22 alishindwa kwenye uchaguzi wa uwakikishi. Akiwa na miaka 23 alishindwa kwenye biashara ya pili. Akiwa na miaka 25 mchumba wake alikufa. Akiwa na miaka 26 alipata ugonjwa wa akili(kichaa) Akiwa na miaka 28 alishindwa kwenye uchaguzi wa uwakilishi. Akiwa (more…)

SIRI YA 43 YA MAFANIKIO; Anza Kufanya Maamuzi Mengi Zaidi.

By | March 10, 2015

Viongozi hufanya maamuzi – kila mara. Wafuasi wanatoa mapendekezo. Kutoa mapendekezo ni rahisi kwa sababu hayahitaji wewe kufanyia kazi na hakuna hofu ya kusindwa. Kugpfanya maamuzi ni kugumu. Inahitaji ujasiri kwa sababu mara zote kunakuwa na changamoto. Anza kufanya maamuzi zaidi. Anza kufanya matendo zaidi. Jinsi unavyofanya zaidi ndivyo unavyojitengeneza (more…)