Category Archives: MAFANIKIO NA HAMASA

SIRI YA 34 YA MAFANIKIO; Unakuwa Kile Unachofikiria.

By | February 27, 2015

Unapata kile unachofikiri unastahili kupata kwa sababu wengine wanakuona wewe kama unavyojiona mwenyewe. Kama unafikiria wewe ni wa chini, utafanya hivyo hivyo na watu watakuchukulia wewe ni wa chini. Jinsi unavyofikiri kunaamua jinsi unavyotenda na jinsi unavyotenda kutaamua wengine wakuchukulieje. Jinsi unavyojiheshimu mwenyewe ndivyo na wengine watakavyokuheshimu.   “Change your (more…)

SIRI YA 33 YA MAFANIKIO; Kuwa Mtu Wa Vitendo.

By | February 26, 2015

1 – Lenga kile unachoweza kufanya sasa. 2 – Usisubiri mpaka mambo yote yawe sawa. Kufanya ni bora kuliko kusubiri kila kitu kiwe tayari. 3 – Mawazo tu yenyewe hayana thamani. Mawazo yanayofanyiwa kazi yana thamani kubwa sana. 4 – Kama utatenda sasa na kuzikabili hofu zako, hofu zitapotea. 5 (more…)

SIRI YA 32 YA MAFANIKIO; Zishinde Changamoto.

By | February 25, 2015

Watu waliokata tamaa na maisha yao wana kitu kimoja kinachofanana. Wote walikutana na changamoto ambayo iliwafanya waache kile wanachofanya na watakuwa tayari kukuambia ni jinsi gani hali waliyokutana nayo ilikuwa ngumu kwao. Mara zote wanaendelea kulisha hofu zao. Watu waliofanikiwa wanatenda tofauti wakati wanapokutana na changamoto. Wanaamka, wanajifunza kwa kilichowaangusha (more…)

Sheri Namba Moja Ya WORLD CLASS; Fanya Zaidi Ya Unavyotegemewa.

By | February 25, 2015

Kama upo humu kwenye KISIMA CHA MAARIFA hasa GOLD MEMBER mpaka sasa unatakiwa uwe umeshaanza kuwa WORLD CLASS. Kuwa WORLD CLASS kwenye jambo lolote unalofanya, kwa sababu kuwa chini ya hapo ni sawa na unapoteza muda wako. Dunia tunayoishi sasa ina changamoto nyingi sana. Kazi unayoifanya kuna watu wengi sana (more…)

SIRI YA 30 YA MAFANIKIO; Uaminifu Unalipa Gawio Kubwa.

By | February 24, 2015

Watu wasioona mbali hawaelewi kwamba kila wanachofanya kina matokeo yake. Matendo mazuri yanapewa zawadi na matendo mabaya yanaadhibiwa. Ni bora kushindwa na ukabaki na heshima kuliko ukafanikiwa huku ukiwa tapeli.    “To measure a man, measure his heart.”  – Malcolm Forbes (more…)

UAMINIFU; Uhusiano kati ya tabia ya uaminifu na mafanikio Makubwa.

By | February 24, 2015

Uaminifu ni moja ya tabia muhimu sana unazohitaji kujijengea. Hii ni kwa sababu kwa tabia ya uaminifu itakuwezesha kufikia mafanikio makubwa sana kuliko ambayo ungeyafikia kama usingekuwa na tabia ya uaminifu. Leo tutaona uhusiano wa karibu kati ya tabia ya uaminifu na mafanikio makubwa kwenye maisha. Kama tulivyoona kwenye siku (more…)

SIRI YA 29 YA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kupata Furaha.

By | February 23, 2015

Huwezi kutafuta furaha. Furaha ni zao la mambo haya matatu; 1. Ubora wa mahusiano yako na wengine. 2. Kiwango cha udhibiti ulionao kwa hisia zako. 3. Jinsi unavyotumia zawadi na uwezo wako katika kutimiza malengo yako. Kama unataka kuwa na furaha fanya kazi ya kuboresha mahusiano yako, dhibiti hisia zako (more…)

SIRI YA 28 YA MAFANIKIO; Tabia Zako Zitakujenga Au Kukubomoa.

By | February 21, 2015

Tabia zako zitakupeleka kwenye mafanikio au kushindwa. Ndio maana kuchangamana na washindi na kusoma vitabu vizuri ni muhimu sana. Kwa sababu unakuwa na tabia za watu unaokaa nao muda mrefu. Unaiga tabia zao. Na tabia ndio zinaamua mafanikio yako.   “The books you read and the people you meet will (more…)

SIRI YA 27 YA MAFANIKIO; Amua Kujiendeleza Kila Siku.

By | February 21, 2015

Watu waliofanikiwa sana kwenye kila eneo ni watu wanaojifunza kila siku na kila mara. Mara zote wanasoma vitabu, kusikiliza vitabu vya kuwaelimisha na kuhudhuria semina. Wanajua kwamba kama wakijifunza na kutumia yale waliyojifunza wanazidi oiuwa bora zaidi ya wale wanaoshindana nao. Kama utatumia dakika 15 mpaka 30 kwa siku kujisomea, (more…)