Category Archives: MAFANIKIO NA HAMASA

Uhusiano Kati Ya Mafanikio Na Tabia Ya Kuahirisha Mambo.

By | January 20, 2015

Katika kipengele hiki cha tabia za mafanikio tunaendelea kujifunza jinsi ya kujijengea tabia ya kutokuahirisha mambo. Kama ambavyo tumekuwa tukiona awali, tabia ya kuahirisha mambo imekufanya mpaka sasa umeshindwa kufanya mambo makubwa sana kwenye maisha yako. Leo tutaangalia uhusiano kati ya mafanikio na tabia ya kuahirisha mambo. Uhusiano kati ya (more…)

Mambo 15 Ya Kung’ang’ania Bila Ya Kujali Watu Wanasema Nini.

By | January 14, 2015

Safari ya kufikia mafanikio sio rahisi kama ambavyo wengi wanafikiri. Ni safari ambayo inaweza kuwa ngumu sana hasa pale unapozungukwa na jamii ambayo haioni kile unachokiona wewe. Ili kufikia mafanikio ni muhimu sana wewe kuweka malengo na mipango yako na kisha kuifanyia kazi bila ya kukata tamaa hata kama mambo (more…)

Vitu vinavyochochea tabia ya kuahirisha mambo na jinsi ya kuviepuka.

By | January 6, 2015

Kama isingekuwa tabia ya kuahirisha mambo maisha yako yangekuwa tofauti sana na yalivyo leo. Maisha yako yangekuwa bora sana na huenda ungeshatekeleza baadhi ya ndoto zako. Lakini sisi ni binadamu na mara kwa mara tunaanguka kwenye udhaifu wetu. Tabia ya kuahirisha mambo inamuathiri karibu kila mtu. Ni rahisi sana kupanga (more…)

KUAHIRISHA MAMBO; Jinsi ya kuondoa tabia ya kuahirisha mambo.

By | December 16, 2014

Tabia ya kuahirisha mambo ni adui mkubwa sana wa kufikia mafanikio makubwa. Hii ni tabia ambayo ipo kwa watu wengi na ni tabia rahisi sana kuifuata kutokana na asili ya binadamu ya kutopenda kufanya mambo yanayochosha au kuumiza. Kwa bahati nzuri ni kwamba unaweza kuondokana na tabia hiyo ya kuahirisha (more…)

Hasara Za Tabia Ya Kuahirisha Mambo.

By | December 9, 2014

Katika kujijengea tabia za mafanikio mwezi huu wa kumi na mbili tunajadili jinsi ya kuachana na tabia ya kuahirisha mambo. Tabia ya kuahirisha mambo ni tabia ambayo imeathiri watu wengi sana na kuwafanya washindwe kufikia malengo yao. Wiki iliyopita tuliona maana ya tabia ya kuahirisha mambo na kwa nini watu (more…)

Dakika 20 Kwa Siku Zinakutosha Kuwa Bora Duniani(WORLD CLASS)

By | December 3, 2014

Moja ya mahitaji makubwa ya kila binadamu ni kukubalika kwa kile anachofanya. Tuna njaa kubwa sana ya kuona watu wakitukubali kutokana na mambo tunayofanya. Unapenda watu wakuone wewe ni mfanyakazi bora au kiongozi bora au mfanyabiashara bora. Pamoja na watu wengi kupenda kukubalika kwa kile wanachofanya bado ni wachache sana (more…)

TABIA ZA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kuondoa Tabia Ya Kuahirisha Mambo.

By | December 2, 2014

Karibu tena msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA katika kipengele hiki cha jinsi ya kujijengea tabia za mafanikio. Kwa zaidi ya miezi sita sasa tumekuwa tukijadili jinsi ya kujijengea tabia ambazo zitatuwezesha kufikia mafanikio. Moja ya sababu kubwa kwa nini watu wengi hawafanikiwi licha ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa (more…)

KUJIAMINI; Kanuni Ya Kujijengea Kujiamini.

By | November 25, 2014

Karibu tena msomaji kwneye kipengele cha jinsi ya kujijengea tabia za mafanikio. Mwezi wa kumi na mwezi wa kumi na moja tulikuwa tunajadili jinsi ya kujijengea tabia ya kujiamini. Katika makala zilizopita tumeona mambo mengi muhimu ya kuzingatia ili kuweza kujijengea tabia hii ya kujiamini. Pia tuliona umuhimu wa tabia (more…)

KUJIAMINI; Madhara Ya Kujiamini Na Kutokujiamini.

By | November 18, 2014

Habari za leo mwana mafanikio? Karibu kwenye kipengele cha tabia za mafanikio na mwezi huu tunaendelea na kujijengea tabia ya kujiamini. Kama tulivyoona kwenye makala zilizopita, kujiamini ni muhimu sana ili uweze kufikia mafanikio makubwa. Kama utakosa kujiamini utakuwa umejiwekea kikwazo kikubwa sana kuweza kufikia mafanikio. Leo tutajadili madhara ya (more…)