Category Archives: ONGEA NA KOCHA

Ongea Na Kocha; Sell Like Crazy, Basil Danghalo.

By | May 23, 2022

Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo mawili makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa pamoja wa kitabu cha SELL LIKE CRAZY. Hiki ni kitabu kilichoandikwa na Sabry Subi ambacho kinatupa maarifa ya kuweza kujenga mfumo wa masoko na mauzo ambao unatuwezesha kuleta wateja wengi (more…)

Ongea Na Kocha; Exactly What To Say, Mrejesho Wa Tathmini Ya Robo Mwaka Na Lengo Jipya La Namba Ya Mauzo.

By | May 16, 2022

Habari mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo matatu makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa kitabu cha EXACTLY WHAT TO SAY, kitabu chenye maneno 23 ya ushawishi ambayo ukiyatumia unakuwa na ushawishi mkubwa kwa wengine. Wanamafanikio wameshirikisha kwa mifano kuhusu maneno hayo. Sikiliza kipindi hiki (more…)

Ongea Na Kocha; Getting To Yes, Mtabazi Sahini.

By | May 2, 2022

Habari mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo mawili makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa kitabu cha GETTING TO YES, kitabu kinachotufundisha msingi sahihi wa kufanya majadiliano yenye manufaa kwa pande zote. Majadiliano hayo ya msingi yana hatua nne ambazo ni kuwatenganisha watu na tatizo, (more…)

Ongea Na Kocha; How To Live On 24 Hours A Day Na Mwongozo Wa Kufanya Tathmini Ya Robo Mwaka.

By | April 25, 2022

Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo mawili makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa kitabu cha HOW TO LIVE ON 24 HOURS A DAY kilichoandikwa na Arnold Bennett. Kitabu hiki kifupi ambacho kimeandikwa zaidi ya miaka 100 iliyopita kina mengi ya kutufundisha kuhusu matumizi (more…)

Ongea Na Kocha; Kuongeza Kiwango Cha Faida, Mwongozo Wa Kufika Kwenye Ubilionea.

By | April 11, 2022

Habari mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo mawili makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa sehemu ya mwisho ya kitabu cha INSTANT CASHFLOW inayohusu kuongeza kiwango cha faida. Wanamafanikio wameshirikisha njia tano walizochagua kufanyia kazi kwenye biashara zao ili kuweza kuongeza kiwango cha faida. Ni (more…)

ONGEA NA KOCHA; HELL YEAH, BOSCO MLOMO.

By | March 28, 2022

Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo matatu makubwa. Jambo la kwanza ni uchambuzi wa kitabu cha HELL YEAH OR NO kilichoandikwa na Derek Sivers. Kwenye kitabu hiki mwandishi ametushirikisha falsafa yake fupi ya kuchagua nini afanye. Anatuambia kama kitu hukipi NDIYO kubwa basi unapaswa (more…)

Ongea Na Kocha; Instant Cashflow – Kuongeza Idadi Na Kiwango Cha Manunuzi.

By | March 21, 2022

Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo tumeendelea na uchambuzi wa kitabu cha INSTANT CASHFLOW kilichoandikwa na Bradley Sugars. Kitabu hiki ni mwendelezo wa msingi mkuu tuliojifunza kwenye kitabu cha BILLIONAIRE IN TRAINING cha mwandishi huyo huyo. Kwenye BILLIONAIRE IN TRAINING tulijifunza ngazi tano za ujasiriamali ambazo (more…)

Ongea Na Kocha; Kisima, Tathmini, Rejoyce Otaru.

By | March 14, 2022

ONGEA NA KOCHA; KISIMA, TATHMINI, REJOYCE OTARU. Karibu mwanamafanikio kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo makubwa manne ya kujifunza kwenye safari yetu ya mafanikio. Jambo la kwanza ni mambo ya muhimu na ya msingi ya kuzingatia kwenye KISIMA CHA MAARIFA. Kwa sasa tunapotia mageuzi makubwa kwenye KISIMA (more…)

ONGEA NA KOCHA; Instant Cashflow Sehemu Ya Pili.

By | February 28, 2022

Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo tunapata uchambuzi wa kitabu cha INSTANT CASHFLOW sehemu ya pili. Kwenye sehemu hii ya pili tunaangalia maeneo mawili kati ya matano ya kukuza biashara. Eneo la kwanza ni kutengeneza wateja tarajiwa kupitia masoko. Hapa tunaziangalia njia mbalimbali za masoko unazoweza (more…)

ONGEA NA KOCHA; Tathmini Ya Robo Mwaka, Kigawe Kikuu Cha Mafanikio, Instant Cashflow.

By | February 21, 2022

Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo yafuatayo. Moja ni mrejesho wa tathmini za robo mwaka ya kwanza kwenye mwaka wa mafanikio 2021/2022. Nimeshirikisha yale muhimu kutoka kwenye tathmini hizo na namna ya kujiandaa vyema kwa tathmini ijayo. Mbili ni andiko la KIGAWE KIKUU CHA MAFANIKIO (THE (more…)