Category Archives: ONGEA NA KOCHA

ONGEA NA KOCHA; Miminalist Entrepreneur, Tathmini Ya Robo Mwaka, Changamoto Ya Siku 100.

By | February 7, 2022

Habari mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo makubwa matatu. Moja ni uchambuzi wa kitabu kinachoitwa MINIMALIST ENTREPRENEUR kilichoandikwa na Sahil Lavingia. Hiki ni kitabu ambacho Sahil ameshirikisha safari yake ya kujenga biashara kwa kuzingatia yale ya msingi badala ya kuhangaika na sifa zisizo na tija. (more…)

Ongea Na Kocha; Mjadala Wa Kitabu Billionaire In Training.

By | January 31, 2022

Habari Mwanamafanikio? Kwenye KISIMA CHA MAARIFA, tupo kwenye muongo (2020 – 2030) wa kufanya makubwa. Katika muongo huu kila mmoja wetu anapambana kufikia uhuru wa kifedha, ambapo ni kuweza kuwa na njia za kuingiza kipato kisichotegemea uwepo wa moja kwa moja (passive income) pamoja na kuwa na uwekezaji mkubwa unaokua (more…)

Ongea Na Kocha; Billionaire In Training, Helanane Ilomo.

By | January 24, 2022

Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni uchambuzi wa kitabu cha BILLIONAIRE IN TRAINING. Hiki ni kitabu muhimu sana kwenye safari yetu ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha. Na ndiyo kitabu kitakachokuwa mwongozo mkuu kwetu. Kwenye uchambuzi huo tutajifunza (more…)

Ongea Na Kocha; Breakfast With Seneca (Falsafa Ya Ustoa)

By | January 17, 2022

Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo tumepata nafasi ya kujadili kwa kina uchambuzi wa kitabu kinachoitwa Breakfast With Seneca. Ni kitabu kinachoelezea vizuri falsafa ya Ustoa kwa namna inavyoweza kutumika kwenye zama tunazoishi sasa. Mwandishi amekusanya pamoja kazi za Seneca kwa namba ambayo zinajibu changamoto nyingi (more…)

ONGEA NA KOCHA; Safari Ya Maisha Ya Farhia Omar.

By | January 10, 2022

Habari wanamafanikio? Karibuni kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo tumefanya mahojiano na mwanamafanikio mwenzetu Farhia Omar aliyetushirikisha safari yake ya maisha. Farhia ametushirikisha historia fupi ya maisha yake tangu kuzaliwa. Ametushirikisha kusoma na kufanya kazi kabla ya kusafiri kwenda nje ya nchi. Ametushirikisha sababu zilizomsukuma kwenda nje ya nchi (more…)

Ongea Na Kocha; Uwajibikaji, Tribe Na Isaack Zake.

By | January 7, 2022

Habari mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi hiki cha ONGEA NA KOCHA ambapo unakwenda kujifunza yafuatayo. Kwenye somo la juma utajifunza umuhimu wa kuwa kwenye jamii ambayo inakuwajibisha ili kuweza kufanya makubwa. Kwa asili sisi binadamu ni wavivu na huwa tunapenda kufanya vitu rahisi. Lakini hivyo haviwezi kutufikisha kwenye mafanikio. Tunahitaji sana (more…)

Ongea Na Kocha; Andika, Dedicated, Selemani Mbwambo.

By | December 20, 2021

Habari Mwanamafanikio? Karibu usikilize kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo makubwa na muhimu kama ifuatavyo; Kwenye somo la juma utajifunza umuhimu wa Kuandika vitu ili uweze kufikiri vizuri na kuweza kuvikamilisha. Unapofikiria tu vitu huvipi msisitizo mkubwa kama ukiviandika chini. Hivyo unapaswa kujijengea utamaduni wa kuyaandika malengo yako (more…)

ONGEA NA KOCHA; Kupata Hamasa Isiyoisha, Kitabu cha Four Thousand Weeks na Mahojiano na Regina Panga.

By | December 6, 2021

Karibu mwanamafanikio kwenye kipindi hiki cha ONGEA NA KOCHA. Kwenye kipindi hiki unakwenda kujifunza mengi kwa kina kama ifuatavyo. Kwenye somo la juma tunajifunza jinsi ya kupata hamasa isiyoisha ili uweze kuyafanyia kazi malengo yako bila kurudi nyuma. Hapa utajifunza hatua tano za kuchukua kwenye kila siku yako ili kuchochea (more…)

ONGEA NA KOCHA; Wewe Ni Mshindi, Third Door na Ernest Paschal.

By | November 29, 2021

Karibu mwanamafanikio kwenye kipindi cha juma cha ONGEA NA KOCHA. Kwenye kipindi hiki unakwenda kupata yafuatayo; Moja ni somo la wewe ni mshindi, ambapo nimekushirikisha kwa kina namna ya kufikiri kama mshindi, kufuta kabisa mbadala na kupambana mpaka ufanikiwe. Mbili ni uchambuzi wa kitabu cha Third Door ambapo mwandishi ameshirikisha (more…)

ONGEA NA KOCHA; Kisima Ni Jeshi, Amri 21 Za Maisha na Godfrey Mbise.

By | November 22, 2021

Habari Mwanamafanikio? Karibu usikilize kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kwa juma hili kuna mambo makubwa matatu. Moja ni mafanikio ni vita, KISIMA CHA MAARIFA ni jeshi na wewe ni mwanajeshi kwenye hii vita. Hapa utajifunza kwa ufupi sifa za wanajeshi wa Sparta na mambo muhimu ya kuzingatia kwenye jeshi (more…)