Category Archives: SHERIA ZA SIKU

#SheriaYaLeo (265/366); Wafanye wakuambie siri zao.

By | July 23, 2022

#SheriaYaLeo (265/366); Wafanye wakuambie siri zao. Kwenye mchezo wa madaraka, lengo lako ni kuwa na udhibiti mkubwa wa matukio yajayo. Lakini tatizo kubwa litakalokukabili ni watu kutokuaa tayari kukuambia siri zao. Watu wanapokuwa na udhibiti kwenye kile wanachosema, huwa wanaficha yake maeneo muhimu au ambayo wana udhaifu mkubwa. Hilo linafanya (more…)

#SheriaYaLeo (264/366); Fanya tofauti na ulivyozoea.

By | July 22, 2022

#SheriaYaLeo (264/366); Fanya tofauti na ulivyozoea. Watu huwa wanategemea tabia zako zifanane na za watu wengine. Wajibu wako kama mwanamkakati bora ni kwenda kinyume na mazoea hayo. Washangaze watu kwa kufanya tofauti na vile ilivyozoelela. Kwa Sun Tzu na wanamikakati wengine, kufanya kitu cha tofauti bila ya utangulizi wa kitu (more…)

#SheriaYaLeo (263/366); Tumia wengine kukamilisha yasiyo mazuri.

By | July 21, 2022

#SheriaYaLeo (263/366); Tumia wengine kukamilisha yasiyo mazuri. Kama kuna mambo ambayo siyo mazuri yanapaswa kufanyika, hupaswi kuyafanya wewe mwenyewe, kwa sababu yataharibu sifa yako na kuwa kikwazo kwako. Badala yake unapaswa kuwatumia watu wengine kukamilisha mambo hayo. Kwa namna hiyo lawama zitaenda kwa watu hao wengine, huku wewe ukibaki na (more…)

#SheriaYaLeo (262/366); Mkakati wa hatua ndogo ndogo.

By | July 20, 2022

#SheriaYaLeo (262/366); Mkakati wa hatua ndogo ndogo. Tatizo kubwa ambalo watu wengi tunakabiliana nalo ni huwa tunakuwa na ndoto na matamanio makubwa. Ndoto hizo kubwa zinateka hisia zetu kiasi cha kujikuta tunashindwa kuangalia hatua ndogo tunazopaswa kuchukua ili kufikia ndoto hizo kubwa. Huwa tunapenda kufikiria hatua kubwa za kufikia ndoto (more…)

#SheriaYaLeo (261/366); Linganisha matokeo na njia.

By | July 19, 2022

#SheriaYaLeo (261/366); Linganisha matokeo na njia. Majenerali wote bora huwa wanaanza kwa kuangalia njia walizonazo kisha kutengeneza mkakati wa kuweza kuzitumia vyema ili kupata matokeo wanayoyataka. Wanaanza kwa kufikiria uhalisia ulivyo, kwa upande wao na wa maadui pamoja na mambo mengine yote yanauohusika kwenye mapambano. Kufanya hivyo kunawapa msingi sahihi (more…)

#SheriaYaLeo (260/366); Waondoe kwenye upande hasi.

By | July 18, 2022

#SheriaYaLeo (260/366); Waondoe kwenye upande hasi. Ni rahisi kukaa upande hasi kuliko upande chanya. Ni rahisi kukosoa watu kuliko kuwasifia. Ndiyo maana watu wengi huwa wanakimbilia kwenye huo upande hasi. Inahitaji jitihada kubwa kukaa upande chanya na kueleza ubora wa kitu. Ni rahisi kukaa upande hasi na kuonyesha udhaifu wa (more…)

#SheriaYaLeo (259/366); Achana na mazoea.

By | July 17, 2022

#SheriaYaLeo (259/366); Achana na mazoea. Majenerali bora wa kivita na wanamikakati wabunifu huwa wanafanikiwa siyo kwa sababu ya ujuzi walionao, ila kwa sababu wanaweza kuachana na mazoea na kuweka umakini wao kwenye wakati uliopo. Hivyo ndivyo ubunifu unavyochochewa na fursa kutumiwa. Maarifa, ujuzi na uzoefu huwa vina ukomo. Hakuna kiwango (more…)

#SheriaYaLeo (258/366); Usitaharuki.

By | July 16, 2022

#SheriaYaLeo (258/366); Usitaharuki. Huwa ni kawaida yetu sisi binadamu kutaharuki pale tunapokutana na mambo makubwa na ya tofauti na tulivyozoea. Lakini kutaharuki huko huwa hakuna msaada wowote, zaidi ya kutufanya tuwe dhaifu zaidi na kuwa kwenye hali ya kushindwa. Jambo lolote linalotokea, hata liwe kubwa na la tofauti kiasi gani, (more…)

#SheriaYaLeo (257/366); Fikiria matokeo yasiyotegemewa.

By | July 15, 2022

#SheriaYaLeo (257/366); Fikiria matokeo yasiyotegemewa. Sisi binadamu, huwa tunafikiri kwa uvivu na urahisi. Huwa tunaona kama vile matokeo yanafuatana. Kwamba baada ya A ni B, kisha C na kuendekea, sivyo mambo yanavyokuwa kwenye uhalisia. Unapaswa kujua kwamba kila jambo hapa duniani lina ugumu na utata. Kuna mambo yatahusishwa ambayo hayakutegemewa (more…)

#SheriaYaLeo (256/366); Muda ndiyo kitu pekee ulichonacho.

By | July 14, 2022

#SheriaYaLeo (256/366); Muda ndiyo kitu pekee ulichonacho. Muda ni rasilimali muhimu sana uliyonayo kwenye maisha yako. Kuweza kutumia muda wako vizuri kunakufanya uweze kufanya makubwa zaidi. Ili kuweza kunufaika vizuri na muda, lazima uuchukulie kwa tofauti na ambavyo umekuwa unauchukulia. Kiuhalisia, tangu siku uliyozaliwa, muda ndiyo kitu pekee ulichonacho. Ndiyo (more…)