#SheriaYaLeo (316/366); Panda mlima.
#SheriaYaLeo (316/366); Panda mlima. Kwa sisi binadamu, kukaa kwenye wakati uliopo ni kama kuishi sehemu ya chini ya mlima. Kile kinachoonekana kwa macho ndiyo kinaathiri maamuzi yetu. Kupita kwa muda ni sawa na kupanda mlima. Muda unapopita, tunakuwa hatuna tena hisia ambazo zilituathiri kwenye wakati husika. Tunaweza kujitenga na tukio (more…)