Category Archives: UCHAMBUZI VITABU

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Ishi Maisha Yako Na Waruhusu Wengine Kuishi Maisha Yao.

By | December 5, 2017

KITABU; Meditations / Marcus Aurelius. UKURASA; 38 – 47. Ni tabia yetu binadamu kutaka watu wawe kama tunavyotaka kuwa sisi. Kutaka wafanye kile tunachotaka wafanye na hata kufikiri vile tunavyotaka sisi wafikiri. Marcus anatuambia huku ni kupoteza muda wetu, kwa sababu hatuwezi kuwafanya wengine wawe kama tunavyotaka siai. Wala hatupaswi (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Muda Wa Maisha Yetu, Kifo Na Kilicho Muhimu Zaidi Kwetu.

By | December 4, 2017

KITABU ; Meditations / Marcus Aurelius. UKURASA; 29 – 38. Muda wa maisha yetu hapa duniani ni mfupi sana. Muda huu una ukomo, hivyo chochote ambacho mtu unapanga kufanya, ni vyema ukakifanya kwa muda ulionao sasa. Kuahirisha mambo na uvivu mwingine wowote wa kusema nitafanya, ni kujaribu kupoteza muda huu (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; UNA JAMBO LA KUSHUKURU KWA KILA MTU KWENYE MAISHA YAKO.

By | December 2, 2017

KITABU; Meditations / Marcus Aurelius. UKURASA; 19 – 28. Kwenye maisha yetu, tumekutana na watu mbalimbali, kuanzia tunazaliwa mpaka tunakuwa watu wazima. Kila mtu ambaye tumewahi kukutana naye kwenye maisha yetu, ana mchango fulani kwa pale tulipo sasa. Ukianza na wazazi, ndugu wa karibu, walimu, marafiki na hata viongozi mbalimbali, (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Marcus Aurelius, Mtawala Wa Roma Na Mstoa.

By | November 21, 2017

KITABU; Meditations / Marcus Aurelius. UKURASA; 1 – 10. Marcus Aurelius, aliyekuwa mtawala wa Roma kati ya mwaka 161 mpaka kifo chake mwaka 180 anaandikwa kama mmoja wa watawala watano bora kabisa wa Utawala Wa Roma. Marcus alizaliwa katika familia ya kawaida na baada ya wazazi wake wake kufariki aliasiliwa (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Sifa Aliyoacha Leonardo da Vinci

By | November 20, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 174 – 183. Katika ulimwengu wa sasa ambao watu wanabobea kwenye mambo machache, yaani mtu anajua zaidi na zaidi kwenye maeneo machache, Leonardo anabaki na sifa ya kubobea kwenye kila kitu. Leonardo alikuwa msanii, amechora picha nzuri (more…)

KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Maadili Ya Leonardo na Ushauri Wa Maisha Bora.

By | November 19, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 164 – 173. Licha ya kuwa msanii na mwanasayansi, Leonardo da Vinci pia alikuwa mshauri wa mambo mbalimbali ikiwepo imani, mahusiano na hata maadili. Ufuatao ni ushauri wa Leonardo kuhusu kuwa na maisha bora. KUHUSU MALI NA (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; KILA KITU KIPO NDANI YA KILA KITU…

By | November 18, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 154 – 163. Leonardo aliwahi kusema kwamba KILA KITU KIPO NDANI YA KILA KITU, KINATOKA NDANI YA KILA KITU NA KINARUDI KWENYE KILA KITU. Kauli hii ilimaanisha kwamba, dunia imeungana na dunia ni kitu kimoja. Kila kitu (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Afya Bora Ni Hitaji La Fikra Bora…

By | November 17, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 144 – 153. Huwezi kutenganisha mwili na akili, Mwili ukiwa na afya bora, akili inaweza kufikiri kwa kina. Mwili ukiwa na afya mbovu, akili haiwezi kufikiri vizuri. Moja ya mambo yaliyomwezesha Leornado kuwa vizuri kwenye fikra ni (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Ubongo Wa Kulia Na Ubongo Wa Kushoto.

By | November 16, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 134 – 143. Ubongo wa binadamu umegawanyika kwenye sehemu mbili, ubongo wa kulia na ubongo wa kushoto. Ubongo wa kulia unahusika zaidi na mambo ya ubunifu na sanaa. Ubongo wa kushoto unahusika zaidi na fikra na taratibu (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Sayansi Na Sanaa Zinategemeana.

By | November 14, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 124 – 133. Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuelewa iwapo Leonardo da Vinci alikuwa mwanasayansi aliyejihusisha na sanaa au msanii aliyejihusisha na sayansi. Hii ni kwa sababu alikuwa vizuri sana maeneo yote mawili. Alikuwa vizuri kwenye sanaa na (more…)