Wastoa wa kwanza.
Falsafa ya ustoa ilianzia nchini Ugiriki. Zeno aliyeishi miaka 333–261 kabla ya kuzaliwa kristo, ndiye baba wa ustoa. Alianza kuvutiwa na falsafa kupitia vitabu ambavyo baba yale alikuwa akimletea asome. Baadaye alienda maktaba kujifunza zaidi kuhusu falsafa na alitaka kujifunza kupitia Socrates. Hapo ndipo alipokutana na mwanafalsafa Crates ambaye (more…)