Category Archives: #KURASA_KUMI ZA KITABU KILA SIKU

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Mwamshe Socrate Aliyepo Ndani Yako.

By | October 21, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA; 171 – 180. Mpaka sasa umejifunza mambo mengi sana kuhusu mwanafalsafa Socrates. Katika mengi uliyojifunza, yapo ambayo yanakuwa yamekuvutia na ambayo unaona yanaendana na wewe. Mambo haya ndiyo yanaakisi Socrates ambaye yupo (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Tengeneza Sanaa Ya Maisha Yako.

By | October 20, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA; 161 – 170. Kama ilivyokuwa kwa Socrates, kila mmoja wetu ana kitu ndani yake, ambacho kinaweza kuinufaisha dunia. Kitu hichi kinatoka ndani yake na kwakukifanya mtu anapata furaha na kuridhika sana. Na (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Jiimarishe Kiroho.

By | October 19, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross UKURASA; 151 – 160. Licha ya kwamba Socrates hakuwa na umiliki wa mali yoyote ile, Licha ya kudhihakiwa na watu wengi, Na licha ya kuhukumiwa kifo na kuchagua kufa, Socrates alikuwa mtu mwenye (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Ongea Ukweli Mara Zote.

By | October 18, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA; 141 – 150. Socrates alisifika kwa kuhoji kila jambo mpaka kujua ukweli wake. Alimhoji kila mtu kwa kila jambo. Hapakuwa na mtu au kitu ambacho Socrates hakuhoji au kuchimba zaidi. Jambo hili (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Anzisha Kijiwe Chako Kama Cha Socrates.

By | October 17, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA 131 – 140. Tumejifunza kwamba Socrates alikuwa anakutana na watu kila siku jioni mjini Anthens ambapo walikuwa na mijadala mbalimbali. Hii ni mijadala ambayo aliwachochea watu kuhoji na kujihoji zaidi ili kuweza (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Kua Kwa Pamoja Na Marafiki.

By | October 16, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA; 121 – 130. Socrates aliamini rafiki mzuri ni yule ambaye mnaweza kukaa pamoja nakujadiliana, kujifunza na kupeana changamoto kuwa bora zaidi. Katika enzi za Socrate, mji wa Anthens ulikuwa na utaratibu wa (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Watumie wataalamu kwa hekima.

By | October 15, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA; 111 – 120. Socrates anatufundisha kuhoji na kutoa changamoto kwa kila kitu. Anatuambie tuondoke kwenye gereza ambalo tumejifungia la kupokea kila kitu kama kilivyo. Moja ya maeneo muhimu ya kuchukua hatua hizo (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Toa Changamoto Kwa Mambo Yaliyozoeleka…

By | October 14, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA; 101 -110. Socrates anasifika kwa mfano wake wa watu waliozaliwa na kukulia pangoni. Huku wakiwa wamefungwa minyororo wasiweze kugeuga. Wanaangalia ukuta na nyuma yao unakuja mwanga ambao unaonesha vivuli vya vitu kwenye (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Mbinu Saba Za Kufikiri Kwa usahihi.

By | October 13, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA; 91 – 100 Socrates alijenga sifa yake kupitia kufikiri kwa kina na kuuliza maswali mazuri. Hivi ni vitu viwili vinavyokosekana kwenye zama tunazoishi sasa, watu hawafikiri, wanapokea kila wanachoambiwa, kama kilivyo. Watu (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Fikiri Kwa Akili Yako…

By | October 12, 2017

KITABU; Socrates’ way : seven master keys to using your mind to the utmost / Ronald Gross. UKURASA; 81 – 90. Changamoto kubwa ambayo watu wanayo, na imekuwepo tangu enzi za Socrates ni watu kuamini sana maoni ya wengine. Watu wakishaambiwa kitu, hasa na watu ambao wapo juu yao, basi (more…)