Category Archives: UCHAMBUZI VITABU

VITU 100 AMBAVYO KILA MJASIRIAMALI ANATAKIWA KUJUA NA KUFANYA ILI KUFANIKISHA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA.

By | March 16, 2016

Je wewe ni mjasiriamali? Au unataka kuingia kwenye ujasiriamali? Kuna mambo muhimu sana unayotakiwa kujua katika safari yako ya ujasiriamali. Bila ya kujua mambo haya utajikuta kwenye wakati mgumu na hata kukata tamaa, kwa sababu ujasiriamali sio safari rahisi kama wengi ambao bado hawajaingia wanafikiri. Karibu tujifunze mambo 100 ambayo (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; Naked Millionaire (Muongozo Wa Uhakika Wa Kuelekea Kwenye Utajiri, Uhuru Na Utimilivu).

By | March 9, 2016

Fedha ni hitaji muhimu sana kwenye maisha yetu, ukiondoa hewa ya oksijeni ambayo ni muhimu ili maisha yetu yaweze kwenda, fedha inafuatia kwa umuhimu. Lakini pamoja na umuhimu huu mkubwa wa fedha, bado jamii zetu zimekuwa zinabeza sana fedha. Mazungumzo ya fedha yamekuwa yakionekana kama ni mwiko. Ukionekana unazungumzia sana (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; Don’t Go Back To School (Usirudi Tena Darasani).

By | February 24, 2016

Tangu kuwepo kwa mfumo rasmi wa elimu, elimu ya darasani imekuwa inapewa kipaumbele kikubwa sana kwenye jamii zetu. Imekuwa ikizoeleka sana, wale ambao wanapata elimu rasmi ya darasani ndio pekee wanaopata nafasi za kuajiriwa na kuwa na maisha bora. Ila kwa sasa mambo yamebadilika sana, elimu ya darasani karibu kila (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; The Truth About Innovation (Ukweli Kuhusu Uvumbuzi).

By | February 19, 2016

Tunaishi kwenye dunia ambayo mabadiliko yanatokea kwa kasi kuliko kipindi chochote kuwahi kutokea. Ukiangalia tangu zama za mawe, ilichukua muda mrefu sana kufikia zama za chuma, na baadaye mapinduzi ya viwanda. Lakini tangu tumeingia kwenye zama hizi za taarifa, kugunduliwa kwa mtandao wa intaneti kumeleta mabadiliko makubwa na ya haraka (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; Simply Parenting (Malezi Bora Ya Watoto).

By | February 15, 2016

Linapokuja swala la malezi bora ya watoto, kila mzazi anakuwa njia panda kwa sababu hakuna mtaala maalumu unaotolewa wa kuwaandaa watu kutoa malezi bora. Kama hiyo haitoshi, watoto pia hawaji na kitabu cha maelekezo kama ambavyo ukinunua kitu kipya unapewa. Na kufanya mambo kuwa magumu zaidi, watoto wanatofautiana na hivyo (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; Why Motivating People Doesn’t Work And What Does. (Sayansi Mpya Ya Hamasa Na Uongozi)

By | February 6, 2016

Kitabu WHY MOTIVATING PEOPLE DOESN’T WORK, kinaangalia kwa undano sayansi ya hamasa. Katika kitabu hiki tunajifunza mbinu mpya za kuwafanya watu wahamasike na kuchukua hatua zaidi. Kupitia kitabu hiki mwandishi Susan Fowler anatukumbusha kwamba huwezi kumhamasisha mtu, kwa sababu kilamtu tayari amehamasika. Unachoweza kufanya ni kujua mtu amehamasika kwenye nini (more…)

UCHAMBUZI W AKITABU; The Four Purposes Of Life (Makusudi Makuu Manne Ya Maisha)

By | January 30, 2016

Maisha siyo tu kuamka asubuhi, kufanya kile ambacho umezoea kila siku, kulala na kuamka tena kesho yake kurutia utaratibu huo. Kuna makusudi makubwa sana ya maisha ambayo kila mmoja wetu ni lazima ayajue na kuweza kuyafanyia kazi. Hapa ndipo mwandishi Dan Millman ametushirikisha makusudi manne ya maisha ambayo kila mmoja (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; THE 10X RULE, Tofauti Pekee Kati Ya Mafanikio Na Kushindwa.

By | January 13, 2016

Kitabu 10X RULE, yaani sheria ya mara kumi ni kitabu ambacho kinaelezea msingi mmoja muhimu sana wa kufikia mafanikio makubwa. Msingi huo ni kuchukua hatua kubwa sana katika kile ambacho unafanya. Mwandishi anaeleza mpango wowote ambao unao sasa kwenye amisha yako, basi uzidishe mara kumi. Na anza kufanyia kazi mara (more…)