Category Archives: UCHAMBUZI VITABU

Uchambuzi wa kitabu 50 GREAT LESSONS FROM LIFE.

By | January 3, 2016

Kitabu 50 greatest lessons from life ni kitabu kinachotoa ushauri muhimu wa kuweza kuishi maisha bora na yenye mafanikio. Kitabu hiki kimeandikwa kutokana na uzoefu wa maisha wa mwandishi wa kitabu hiki. Yafuatayo ni mambo 20 niliyojifunza kutoka kwenye kitabu hiki. Karibu pia ujifunze. 1. Hazina yako kubwa ya maisha (more…)

UCHAMBUZI W AKITABU; SPEAK LIKE CEO (Ongea Kama Mkurugenzi).

By | December 12, 2015

Kitabu speak like ceo kimeandikwa na mwandishi Suzanne Bates, hiki ni kitabu ambacho kinatoa mbinu za mawasiliano bora kwa viongozi. Wote tunajua ya kwamba uongozi ni mawasiliano, na mafanikio yoyote ya mtu, yanatokana na jinsi gani anavyoweza kuwasiliana na kushirikiana na watu wengine. Kama unataka kuwa kiongozi mkubwa na mwenye (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; The Art Of Living(Mwongozo wa kuishi maisha ya furaha na mafanikio.)

By | December 5, 2015

Kitabu THE ART OF LIVING ni kitabu kilichotafsiriwa kutoka kwenye maandiko ya mwanafalsafa wa zamani wa kigiriki aliyejulikana kwa jina la Epictetus. Epictetus alitengeneza falsafa nzuri ya maisha ambao ilimwezesha yeye mwenyewe na wanafunzi wake kuwa na maisha yenye furaha na mafanikio. Epictetus alikuwa mwanafalsafa wa kistoa ambaye aliamini kwenye (more…)

Uchambuzi Wa Kitabu; SPEAK TO WIN.

By | November 28, 2015

Kitabu SPEAK TO WIN kimeandikwa na mwandishi maarufu sana wa vitabu anayejulikana kama Brian Tracy. Brian ameandika vitabu vingi na pia amekuwa akitoa mafunzo mbalimbali ya biashara na mafanikio. Katika kitabu hiki Brian anatushirikisha mbinu za kuweza kuongea vizuri mbele ya watu na kuweza kuwashawishi watu kuchukua hatua ambayo unataka (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU MIDAS TOUCH(MSHIKO WA MAAJABU)

By | November 21, 2015

Kitabu MIDAS TOUCH ni kitabu ambacho kimeandikwa na wajasiriamali wakubwa wawili wa nchini marekani. Wajasiriamali hawa ni ROBERT KIYOSAKI na DONALD TRUMP. Kitabu hiki kinaelezea misingi mikuu mitano ya ujasiriamali ambayo inawatofautisha wajasiriamali wanaofanikiwa na wale ambao wanashindwa. Misingi hii mitano inafananishwa na vidole vitano vya mkono na hivyo mjasiriamali (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU 52 WEEKS OF SALES SUCCESS.

By | November 14, 2015

Kitabu 52 Weeks Of Sales Success ni kitabu ambacho kinaeleza mbinu muhimu z akuweza kufanikiwa kwenye kazi ya kuuza. Kitabu hiki ni muhimu sana kwa kila mmoja wetu kwa sababu wote tunauza. Kila mtu kuna kitu anauza. Kama umeajiriwa unauza muda na utaalamu wako kwa yule aliyekuajiri. Kama unafanya biashara (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU THE TIME WARRIOR(SHUJAA WA MUDA).

By | November 7, 2015

Kitabu THE TIME WARRIOR ni kitabu ambacho kinatufundisha mbinu mbalimbali za kuweza kuwa na matumizi mazuri ya muda ili kuweza kukamilisha malengo na mipango yetu muhimu kwenye maisha. Kitabu hiki kinatoa njia za kuondokana na hali ya kuahirisha mambo, kutaka kuwaridhisha watu, kujishuku wewe mwenyewe, kujiwekea majukumu mengi na pia (more…)

MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KWENYE KITABU HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING.

By | October 10, 2015

Kitabu HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING ni kitabu ambacho kimeeleza mbinu bora sana za kuondokana na hofu na mashaka kwenye maisha. Maisha yaliyojawa hofu ni maisha mabovu sana na ni vigumu kuweza kufikia mafanikio. Yafuatayo ni mambo 20 kati ya mengi niliyojifunza kwneye kitabu hiki; 1. Sisi wote (more…)

MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KWNEYE KITABU FREAKNOMICS.

By | October 10, 2015

FREAKNOMICS ni kitabu kinachoelezea dhana za kiuchumi kwenye maisha ya kawaida ya mwanadamu. Ni kitabu ambacho kimeandikwa kwa misingi ya kuuliza maswali ambayo ni ya wazi na ambayo watu wamekuwa wakifikiri majibu ya wazi kumbe ni vitu havina uhusiano. 1. Kila binadamu anaendeshwa na motisha(incentive). Maamuzi unayofanya kwenye kazi au (more…)

MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KWNEYE KITABU THE LUNCH TIME TRADER.

By | September 15, 2015

Kitabu THE LUNCH TIME TRADER ni kitabu kinachofundisha jinsi ya kufaidika na uwekezaji kwenye soko la hisa. Kupitia kitabu hiki unajifunza mbinu za kununua na kuuza hisa ili kuweza kupata faida kubwa. Kuna mengi mazuri kwenye kitabu hiki, ila hapa nitakushirikisha sababu 20 kwa nini uwekeze kwenye kununua hisa. SABABU (more…)