Category Archives: UCHAMBUZI VITABU

Mambo 20 niliyojifunza kwenye kitabu THE LIFE CHANGING MAGIC OF TYDING UP.

By | September 6, 2015

Hiki ni kitabu kinachotoa mbinu na maarifa ya kuweka kupangilia vitu vyako vizuri. Ukweli ni kwamba kila mmoja wetu ana vitu vingi zaidi ya anavyohitaji. Lakini linapokuja swala la kuachana na vitu hivyo, iwe ni kwa kutupa au kwa kugawa inakuwa vigumu sana. Kupitia kitabu hiki unajifunza mbinu za kufanya (more…)

MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KWENYE KITABU 100 WAYS TO MOTIVATE OTHERS.

By | August 22, 2015

Kitabu 100 WAYS TO MOTIVATE OTHERS ni kitabu kinachokupa maarifa ya kuweza kuwahamasisha wengine ili kuweza kua na kufabya zaidi. Kumbuka kwamba mafanikio yako kwenye kazi na hata maisha yanategemea ni jinsi gani unaweza kuwahamasisha wengine ili waweze kutimiza majukumu yao. Hapa kuna mambo 20 nitakayokushirikisha kutoka kwenye kitabu hiki. (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU EAT, MOVE, SLEEP.

By | August 1, 2015

MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KWENYE KITABU EAT MOVE SLEEP. Maisha yetu yanatokana na maamuzi tunayofanya kila siku kwenye maeneo haya matatu muhimu kwenye maisha, UNAKULA NINI, UNALALA VIPI UNAFANYA MAZOEZI KIASI GANI. 1. Unachokula ndio kinakujenga au kukubomoa. Magonjwa mengi yanayotusumbua sasa yanatokana na vyakula tunavyokula kila siku. Kuwa mwangalifu sana (more…)

Uchambuzi wa kitabu The Investment Answer.

By | July 18, 2015

Kitabu hiki kinakupatia jibu la uwekezaji. Na hapa nimekuchambulia mambo 20 muhimu kutoka kwenye kitabu hiki. Yafanyie kazi na pia kisome kitabu hiki na vingine vya uwekezaji ili uweze kufnikiwa kupitia uwekezaji. Mambo 20 niliyojifunza kwenye kitabu INVESTMENT ANSWER… 1. Uwekezaji ni sehemu muhimu sana kwenye kipato cha kila mmoja (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; EAT THAT FROG, JINSI YA KUPANGILIA MUDA WAKO NA KUEPUKA TABIA YA KUAHIRISHA MAMBO.

By | June 11, 2015

Karibu kwenye kipengele hiki cha uchambuzi wa vitabu ambapo kila wiki unapata uchambuzi wa kitabu kimoja kinachokupatia mbinu na maarifa ya kuweza kufikia mafanikio makubwa. Mchakato wa kufikia mafanikio sio rahisi hata kidogo. Kuna vitu vingi sana vinatega muda wako na hivyo usipokuwa makini utajikuta unakosa muda w akufanya yale (more…)

THINK AND GROW RICH: Hatua Ya Sita Ya Kuelekea Kwenye Utajiri; Sababu 30 Zinazowafanya wengi Kushindwa.

By | March 13, 2015

Jambo kubwa la kushangaza kuhusu maisha ni kwamba kuna watu wengi sana ambao wamejaribu kutafuta mafanikio kwenye maisha yao ila wameshindwa. Cha kushangaza ziadi ni kwamba wanaoshindwa ni wengi sana kuliko wale wanaofanikiwa. Asilimia 98 ya watu wanaojaribu kupata mafanikio wanaishia kushindwa. Kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wa maisha (more…)

THINK AND GROW RICH: Hatua Ya Sita Ya Kuelekea Kwenye Utajiri; Mpango Ulioandaliwa Vizuri – 1.

By | March 5, 2015

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THINK AND GROW RICH, leo tutachambua sehemu ya hatua ya sita ya kufikia utajiri ambayo ni Kuwa na mpango ulioandaliwa vizuri. Kupata makala zilizopita za uchambuzi wa kitabu hiki bonyeza hayo maandishi ya jina la kitabu. Mpaka sasa umejifunza ya kwamba kitu chochote mtu anachotengeneza (more…)

THINK AND GROW RICH: Hatua Ya Tano Ya Kuelekea Kwenye Utajiri; Kujitengenezea Taswira – 2.

By | February 19, 2015

JINSI YA KUTUMIA KUJIJENGEA TASWIRA KIUHALISIA. Mawazo ndio chanzo kikuu cha utajiri wote. Mawazo ni zao la kujijengea taswira. Mfano wa mawazo yaliyoleta mapinduzi na kuleta utajiri mkubwa. Miaka mingi iliyopita, daktari mmoja wa kijijini aliingia kwenye duka la dawa mjini akiwa amebeba birika lake. Alipofika kwenye duka lile alianza (more…)

THINK AND GROW RICH: Hatua Ya Tano Ya Kuelekea Kwenye Utajiri; Kujitengenezea Taswira – 1.

By | February 12, 2015

Kujijengea taswira ndio sehemu kuu ambapo akili ya mtu inaweza kutengeneza mipango yote. Hamu ya kufikia mafanikio inatengenezewa umbo, kupewa sura na kufanyiwa kazi kupitia uwezo huu wa kujijengea taswira. Imekuwa ikielezwa kwamba mtu anaweza kutengeneza chochote anachoweza kufikiria na kutengenezea taswira. Katika miaka yote ambayo imepita, hiki ni kipindi (more…)

THINK AND GROW RICH: Hatua Ya Nne Ya Kufikia Utajiri; Maarifa, Uzoefu Na Uchunguzi–2.

By | February 6, 2015

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THINK AND GROW RICH kama umekosa uchambuzi wa nyuma bonyeza hayo maandishi. Tuko kwenye uchambuzi wa hatua ya nne ya kufikia utajiri ambayo ni kupata maarifa, uzoefu na hata kufanya uchunguzi wako binafsi. Kuna udhaifu mkubwa sana kwa watu ambao hauna dawa. Udhaifu huu ni (more…)