Category Archives: UCHAMBUZI VITABU

RICH DAD; Tofauti Kati Ya Tajiri Na Masikini Kwenye Matumizi Ya Fedha.

By | September 4, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Mwaka 1990 rafiki yake Robert, Mike alichukua urithi wa mali za baba (more…)

RICH DAD; Kuepuka Mtego Wa Mbio Za Panya.

By | August 29, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Katika uchambuzi uliopita tuliona RICH DAD akiwaambia Mike na Robert kuhusu mbio (more…)

RICH DAD; Jifunze Kuifanya Fedha Ikufanyie Wewe Kazi.

By | August 28, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Katika uchambuzi uliopita RICH DAD alimfundisha Robert somo la kwanza katika kuelekea (more…)

RICH DAD; Somo la kwanza; MATAJIRI HAWAFANYII KAZI PESA.

By | August 22, 2014

Katika sehemu iliyopita ya uchambuzi tuliona jinsi ambavyo Robert na Mike walikubali kufanya kazi ili wafundishwe jinsi ya kuwa matajiri. Lakini pamoja na kufanya kazi kwa ujira kidogo bado hawakupata kile walichetegemea kupata. Na hii ilimfanya Robert kuamua kuacha kazi ile kwa sababu hakuona chochote alichojifunza. Hapa ndipo alipokutana na (more…)

RICH DAD; Kufanya Kazi Bila Kulipwa.

By | August 21, 2014

Baada ya Robert na Mike kukubaliana wamuombe baba yake Mike awafundishe kuwa matajiri Mike aliongea na baba yake jioni na alikubwali kukutana nao siku inayofuatia. Siku hiyo Robert na Mike walifika ofisini kwa baba yake Mike, pale walikuta wafanyakazi wa baba yake Mike wakimsubiri. Ilionekana ni ofisi yenye vitu vilivyochoka (more…)

RICH DAD; Nawezaje Kuwa Tajiri?

By | August 15, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD, POOR DAD ambapo kwenye makala iliyopita tulichambua utangulizi wa kitabu hiki. Robert akiwa na miaka tisa(mwaka 1956), siku moja alimuuliza baba yake baba nawezaje kuwa tajiri? Baba yake aliacha gazeti alilokuwa anasoma na kumuuliza kwa nini unataka kuwa tajiri? Robert alimjibu kwamba siku (more…)

Rich Dad, Poor Dad; Utangulizi.

By | August 14, 2014

Karibu kwenye uchambuzi wa vitabu ambapo tutakuwa tukichambua baadhi ya vitabu vizuri ambavyo vinaweza kuwa msaada mkubwa kwenye kuboresha maisha yetu. Katika uchambuzi huu tutajifunza yale mambo muhimu ambayo yameandikwa kwenye kitabu husika na tutaona ni jinsi gani tunaweza kutumia tunayojifunza kwenye maisha yetu. Katika uchambuzi wa vitabu tutaanza na (more…)

Uchambuzi Wa Vitabu Vitatu(Rich dad, poor dad, Think and grow rich na Richest man in babylon)

By | August 7, 2014

Vitabu hivi vitatu, RICH DAD, POOR DAD, THINK AND GROW RICH na THE RICHEST MAN IN BABYLON ni vitabu vizuri sana kuweza kufungua mawazo yako na kubadili mtazamo wako kuhusu maisha na hata mafanikio. Ni vitabu ambavyo nimekuwa navituma kwa watu kwanzia mwishoni mwa mwaka 2012. Mpaka sasa nimeshatuma vitabu (more…)