Category Archives: UCHAMBUZI VITABU

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Falsafa Ya Maisha mazuri na yenye furaha.

By | September 30, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans Kurasa; 197 – 206.. Kumekuwa na jitihada mbalimbali za kuchagua falsafa moja ambayo inaweza kuleta maisha mazuri na ya furaha kwa kila mtu. Lakini kila falsafa imekuwa inawafaa watu fulani na wengine kuikataa, (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Kila mtu anahitaji mashujaa wake…

By | September 29, 2017

KITABU; PHILOSOPHY FOR LIFE AND OTHER DANGEROUS SITUATIONS : ANCIENT PHILOSOPHY FOR MODERN PROBLEMS / JULES EVANS UKURASA; 187 – 196… Sisi binadamu ni viumbe wa kijamii, huwa tunapenda kukubalika ndani ya jamii tunayoishi. Na ili kuweza kukubalika, huwa tunaishi maisha ya kuiga. Mambo mengi ambayo tunafanya, ni kwa sababu (more…)

#KURASA_KUMI; Matatizo ya dunia yataisha iwapo itatawaliwa na wanafalsafa.

By | September 28, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa; 177 – 186.. Mwanafalsafa Plato, kupotia kitabu chake cha The Republic, aliandika kwamba dunia itatulia na kuwa sehemu salama, iwapo wanafalsafa wataitawala dunia. Aliamini changamoto ambazo dunia inipitia, zinaweza kutatuliwa na wanafalsafa (more…)

#KURASA_KUMI; Jinsi ya kutawala fikra zako na kudhibiti maisha yako.

By | September 27, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 167 – 176. Miaka mingi iloyopita, mwanafalsafa Plato alisema kwamba sisi binadamu tuna nafsi zaidi ya moja. Na kinachofanya maisha yetu kuwa magumu, niale tunaposhindwa kudhibiti kila nafsi na kujikuta tunataka kuirishisha (more…)

#KURASA_KUMI; Ubepari unastawi kwa kutengeneza mateso kwa wengi.

By | September 26, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 153 – 166 Wanafalsafa ambao wanapingana na mifumo ya kijamii iliyopo, CYNICS wanatuonesha ni kwa namna gani ustaarabu na kutaka kuonekana vizuri kwa wengine kulivyo mateso kwetu. Kupenda kwetu kufanya kile ambacho (more…)

#KURASA_KUMI; Ustaarabu ni chanzo cha mateso kwetu.

By | September 25, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 143 – 152. Tumejifunza kutoka kwa wanafalsafa wa ustoa kwamba maisha yetu ni matokeo ya fikra zetu. Iwe ni furaha au huzuni, yote yanaanzia kwenye fikra zetu. Lakini fikra zetu hizi zinaathiriwa (more…)

#KURASA_KUMI; Hakuna jambo lolote ambalo tuna uhakika nalo.

By | September 24, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 133 – 142. Wanafalsafa wa kushuku (Skepticism) wanatuambia kwamba, changamoto kubwa tunazotengeneza kwenye maisha yetu ni kwa sababu tunajipa uhakika kwenye vitu ambavyp hatuna uhakika navyo. Hata kama jambo tumeona linatokea kila (more…)

#KURASA_KUMI; Umuhimu wa kukariri na kurudia kauli chanya.

By | September 23, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 123 – 132. Sehemu kubwa ya yale ambayo tunayafanya kwenye maisha yetu, yanatokana na tabia na mazoea ambayo tumwjijengea. Vitu vingi unafanya bila hata ya kufikiri. Na hata namna tunavyofikiri ni kwa (more…)

#KURASA_KUMI; Changamoto Ya Utambuzi/Ufahamu (Consciousness).

By | September 22, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 114 – 123. Kumekuwepo na mjadala mkali baina ya wanasayansi kwa upande mmoja na wanafalsafa kwa upande wa pili. Wapo wanasayansi wanaoamini kwamba falsafa imekufa na kwamba chochote ambacho falsafa inasimamia hakina (more…)

#KURASA_KUMI; Dunia yote ni kitu kimoja na kila kitu ni kizuri…

By | September 21, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 104 – 113. Karibu kila jamii na kila tamaduni hapa duniani, imekuwa ikijaribu kueleza maana ya maisha na nini kinachoongoza maisha yetu hapa duniani. Dini mbalimbali zimekuwa na kubwa ya maana ya (more…)