Category Archives: UCHAMBUZI VITABU

#KURASA_KUMI; Tatizo La Dhana Ya Maisha Ya Furaha.

By | September 20, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 94 – 103. Falsafa ya Epicurean inaweka msisitizo wa kuishi maisha ya raha muda wote na kuepuka aina yoyote ya maumivu. Kitu ambacho kwa haraka kinaweza kuonekana ni kizuri, kwa sababu nani (more…)

#KURASA_KUMI; Furaha Ni Kuishi Sasa.

By | September 19, 2017

KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 84 – 93.. Epicurus ni mwanafalsafa aliyeamini kwenye furaha kwenye kuishi kwenye wakati ujao. Epicurus aliamini kwamba lengo letu hapa duniani ni kuwa na maisha ya furaha na kuepuka maumivu. Alianzisha falsafa (more…)

Falsafa ya ustoa na matumizi yake katika jamii.

By | September 18, 2017

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 74 – 83. Falsafa ya ustoa na matumizi yake katika jamii. Falsafa ya ustoa imekuwa ikichukuliwa kwa mtazamo hasi, kwamba wastoa ni watu ambao wanaficha na kukandamiza hisia (more…)

Jinsi ya kuidhibiti hasira.

By | September 17, 2017

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 56 – 73. Jinsi ya kuidhibiti hasira. Hasira ni moja ya hisia ambazo zina matokeo mabaya saba kwa yeyote anayekuwa nayo. Upo usemi kwamba HASIRA NI HASARA, na (more…)

Jinsi ya kujijengea udhibiti binafsi (self-control).

By | September 16, 2017

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems. Kurasa 45 – 55 Jinsi ya kujijengea udhibiti binafsi (self-control). Tafiti nyingi zinaonesha kwamba, watu wenye udhibiti binafsi wanakuwa na maisha bora na yenye mafanikio kuliko wale wanaokosa udhibiti binafsi. Wanafalsafa wa (more…)

HALI YETU YA UDHIBITI JUU YA MAMBO YANAYOTUTOKEA.

By | September 15, 2017

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems. Kurasa 33 – 45. HALI YETU YA UDHIBITI JUU YA MAMBO YANAYOTUTOKEA. Mambo yote yanayotokea kwenye maisha yetu tunaweza kuyagawa katika makundi mawili. 1. Mambo ambayo yapo chini ya udhibiti wetu, haya (more…)

#KURASA_KUMI; Nini maana ya maisha mazuri?

By | September 14, 2017

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems. Kurasa 21 – 31. Nini maana ya maisha mazuri? Swali moja ambalo watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kuhusu maana ya maisha mazuri. Kumekuwepo mijadala mingi kuhusu nini maana ya maisha mazuri na (more…)

#KURASA_KUMI; Tiba ya akili ipo ndani yako.

By | September 13, 2017

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems. Kurasa 1 – 20. Tiba ya akili ipo ndani yako. Kitu ambacho sayansi inadhibitisha zama hizi, wanafalsafa walishakijua zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Hii ni kuhusu uwezo wa mtu kutibu akili yake (more…)

KUISHI FALSAFA YA USTOA.

By | April 9, 2017

Kama ambavyo tumejifunza mpaka sasa, ustoa ni moja ya falsafa nzuri sana za maisha kwa sababu inatupa utulivu ndani ya nafsi zetu na kutuwezesha kuwa na maisha bora bila ya kujali tunapitia nini. Lakini kuishi falsafa hii ya ustoa kwa mgeni inaweza kuwa changamoto kubwa. Hii ni kwa sababu wengi (more…)

KUIFIKIRIA FALSAFA YA USTOA.

By | April 9, 2017

Kama ambavyo tumeona, ni muhimu sana mtu kuwa na falsafa ya maisha, kwa sababu bila ya falsafa, hakuna hatua kubwa mtu anaweza kupiga. Na kama ambavyo tumejifunza kwenye falsafa ya ustoa, dhumuni kuu la falsafa ya ustoa ni kuwa na utulivu kwenye maisha, kwa kuishi kulingana na asili. Zipo falsafa (more…)