Category Archives: THE RICHEST MAN IN BABYLON

THE RICHEST MAN; Historia Ya Babeli.

By | December 12, 2014

Karibu tena kwenye kipengele hiki cha uchambuzi wa vitabu na leo tunachambua sehemu ya mwisho wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Kama ulikosa sehemu yoyote ya uchambuzi huu utaweza kuupata kwenye makala za nyumba za uchambuzi wa kitabu hiki kwa kubonyeza maandishi haya. Naamini mpaka hatua hii umejifunza mengi (more…)

RICHEST MAN; Mtu Mwenye Bahati Kuliko Wote Babeli–2.

By | December 5, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON Katika uchambuzi uliopita tuliona jinsi ambavyo Sharru Nada alivyokuwa akielezea historia yake ya kwanzia alipokuwa mtumwa mpaka kuja muwa mfanya baishara mkubwa. Alikuwa akimweleza mjukuu wa rafiki yake hadithi hii ili kumhamasisha na yeye afanye kazi kwa juhudi ili aweze (more…)

RICHEST MAN; Mtu Mwenye Bahati Kuliko Wote Babeli–1.

By | December 4, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Sharru Nada alikuwa mfanya biashara ambaye alipenda sana kuvaa vitu vya thamani na mavazi ya kitajiri. Kwa muonekano wa nje alionekana ni mtu wa kujiweza ila kwa ndani alikuwa na matatizo makubwa. Alikuwa akiongoza msafara wake wa kibiashara kutoka Damascus (more…)

RICHEST MAN; Mfanyabiashara wa Ngamia wa Babeli–2.

By | November 29, 2014

Debasir aliendelea kuelezea hadithi yake ya jinsi alivyonunuliwa kama mtumwa baada ya kukimbia madeni nyumbani. Aliendelea kusema kwamba mke wa yule aliyemnunua kama mtumwa alimwambia kama yeye sio mtumwa aoneshe kweli kwamba yeye sio mtumwa. Alimwambia awe tayari kurudi kulipa watu wote wanamdai ili aweze kuishi kwa uhuru. Kwa mwaka (more…)

THE RICHEST MAN; Mfanyabiashara wa Ngamia wa Babeli.

By | November 27, 2014

Jinsi ambavyo mtu anakuwa na njaa kali ndivyo jinsi ambavyo akili yake inafikiria sana na pia anasikia sana harufu ya chakula. Tarkad mtoto wa Azure, alifikiria hivi. Na kwa siku mbili alikuwa hajapata chakula cha maana zaidi ya matunda aliyochuma kwenye bustani. Hakuweza kupata matunda mengine ya kula kwa sababu (more…)

THE RICHEST MAN; Ukuta Wa Babeli.

By | November 20, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Mji wa babeli ulikuwa umezungukwa na ukuta imara sana na ambao ulikuwa na mlango imara wa chuma. Ukuta huu uliweza kuulinda mji wa babeli dhidi ya wavamizi ambao wangeweza kuja kuchukua utajiri wa babeli. Kuna kipindi babeli ilivamiwa na majeshi (more…)

THE RICHEST MAN; Mkopeshaji Fedha Wa Babeli – 2.

By | November 15, 2014

Baada ya kumaliza mfano ule wa maksai na farasi, Mathon alimuuliza Rodan amejifunza nini kwenye mfano ule? Rodan alijibu ni hadithi nzuri ila hajajifunza chochote. Mathon alimwambia somo la kujifunza hapo ni rahisi sana; kama unataka kumsaidia rafiki yako msaidie kwa njia ambayo haitaleta matatizo yake kwako. Mathon alimwambia kabla (more…)

THE RICHEST MAN; Mkopeshaji Fedha Wa Babeli.

By | November 13, 2014

Rodan aliyekuwa mtengeneza spea wa babeli alikuwa na vipande hamsini vya dhahabu. Alitembea njiani kwa maringo huku dhahabu ikitikisika kwenye mifuko yake. Haijawahi kutokea kwenye maisha yake akawa na kiasi kikubwa vile cha dhahabu. Kiasi hiko cha dhahabu kingemwezesha kununua chochote alichokuwa anataka iwe ni ardhi, nyumba, farasi na kadhalika. (more…)

RICHEST MAN; Sheria Tano Za Fedha – 1

By | November 6, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Ukipewa mfuko uliojaa fedha na kitabu chenye maneno ya busara utachagua nini? Hili ni swali ambalo liliulizwa na Kalabab kwa watu 27 waliokuwa kwenye mjadala. Watu wote walijibu watachukua mfuko wa fedha. Kalabab alishangaa na kuendelea kusema, sikia mbwa mwitu (more…)