Category Archives: THE RICHEST MAN IN BABYLON

RICHEST MAN; Kutana Na Miungu Wa Bahati – 2

By | October 31, 2014

Tunaendelea na sehemu ya pili ya uchambuzi wa mjadala ulikuwa unaendelea kuhusu bahati. Arkad na mkusanyiko ule wa atu waliendelea kujadili ikiwa kweli kuna bahati au kuna miungu ambayo inatoa bahati. Arkad aliendelea kusisitiza kwamba faida yoyote inatokana na kujituma na kufanya kazi na sio bahati tu. Watu wengi waliendelea (more…)

RICHEST MAN; Kutana Na Miungu Wa Bahati.

By | October 30, 2014

Tamaa ya bahati ni kitu kinachotokea kwa kila mtu. Hata watu wa babeli walitamani sana bahati. Kila mtu anapenda kukutana na bahati ambapo kwa juhudi kidogo aweze kufikia mafanikio makubwa. Je kuna njia yoyote ya kukutana na miungu inayotoa bahati ili ikupatie bahati? Je kuna njia yoyote ya kukaribisha bahati? (more…)

RICHEST MAN; Tiba Saba Za Mifuko Iliyosinyaa(4 – 7)

By | October 24, 2014

TIBA YA NNE; Linda hazina yako isipotee. Kisirani kinapenda sehemu yenye mafanikio, fedha za mtu zinatakiwa kulindwa vizuri sana la sivyo zinapotea. Ni busara kuweza kupata kiasi kidogo cha fedha na kukilinda vizuzi kabla ya kupata kiasi kikubwa zaidi. Arkad alianza na maelezo hayo siku ya nne. Kila mtu ambaye (more…)

RICHEST MAN; Tiba Saba Za Mifuko Iliyosinyaa(1-3)

By | October 23, 2014

TIBA YA KWANZA; Anza kunenepesha mfuko wako. Arkad alianza mafunzo yake kwa kuwauliza wanafunzi wake maswali. Alimuuliza mmoja unafanya kazi gani? Akamjibu ni mwandishi na anawaandikia watu. Arkad alimjibu hata yeye alikuwa anafanya kazi hiyo na ndio ilimpatia fedha yake ya kwanza aliyowekeza. Alimwambia hata yeye anaweza kufanikiwa sana kwa (more…)

RICHEST MAN; Tiba Saba Za Mifuko Iliyosinyaa(1-3)

By | October 23, 2014

TIBA YA KWANZA; Anza kunenepesha mfuko wako. Arkad alianza mafunzo yake kwa kuwauliza wanafunzi wake maswali. Alimuuliza mmoja unafanya kazi gani? Akamjibu ni mwandishi na anawaandikia watu. Arkad alimjibu hata yeye alikuwa anafanya kazi hiyo na ndio ilimpatia fedha yake ya kwanza aliyowekeza. Alimwambia hata yeye anaweza kufanikiwa sana kwa (more…)

RICHEST MAN; Tiba Saba Za Mifuko Iliyosinyaa.

By | October 17, 2014

Babeli ulikuwa ni mji ambao umebarikiwa sana na uliokuwa na watu ambao ni matajiri sana katika enzi hizo. Sio kwamba mji huu ulianza na utajiri, bali utajiri wake ulitokana na busara za wananchi wa mji ule. Kitu cha kwanz akabisa walichofanya ni kujifunza kuhusu utajiri. Baada ya mfalme Sargon kurejea (more…)

RICHEST MAN; Mtu Tajiri Kuliko Wote Babeli–2.

By | October 16, 2014

Katika uchambuzi uliopita tuliona Bansier na Kobbi wakikubaliana kwenda kuomba ushauri kuhusu utajiri kutoka kwa mtu aliyekuwa tajiri sana pale ababeli ambaye alikuwa ni Arkad. Arkad alikubali kuwapa siri yake na alianza kwa kuwaambia jinsi gani alipata elimu hiyo. Aliwaambia jinsi alivyokuwa mwandishi na siku moja mtu tajiri, mkopeshaji fedha (more…)

RICHEST MAN; Mtu Tajiri Kuliko Wote Babeli.

By | October 10, 2014

Karibu tena msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA, tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THE RICHEST MAN BABYLON. Kwenye makala iliyopita tuliona jinsi Bansir na Kobbi walivyoyatafakari maisha yao na kuona kuna tatizo kubwa. Na hivyo waliamua kumtafuta mtu tajiri na kujifunza kwa sababu waliamini matajiri wana siri inayowafanya waendelee kuwa matajiri. (more…)

THE RICHEST MAN IN BABYLON; Mtu Aliyetamani Thahabu.

By | October 9, 2014

Karibu sana msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA katika uchambuzi wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Hiki ni kitabu ambacho kinakupa maarifa na mbinu za kutatua changamoto zako za kifedha. Kitabu hiki kinakupatia mbinu zilizotumika zamani na kuufanya utawala wa BABELI kuwa utawala wenye nguvu sana. Mbinu hizi zinafanya kazi (more…)