3153; Kiburi cha umasikini.

By | August 19, 2023

3153; Kiburi cha umasikini. Rafiki yangu mpendwa,Tofauti kati ya matajiri na masikini imekuwa inaendelea kukua kwa kasi kubwa.Masikini wamekuwa wanaendelea kuwa masikini zaidi na zaidi, huku matajiri wakiendelea kupata utajiri mkubwa zaidi na zaidi. Wengi wamekuwa wanatoa sababu zao mbalimbali juu ya tofauti hiyo, lakini zimekuwa ni za juu juu (more…)

Barua ya XVI; Falsafa kama mwongozo wa maisha.

By | August 18, 2023

Barua ya XVI; Falsafa kama mwongozo wa maisha. Rafiki yangu Mstoa,Watu wengi wanaposikia kuhusu falsafa, huwa wanafikiria watu wenye akili na uelewa mkubwa wa mambo ambao wanabishana maswali magumu ya maisha kama nini maana ya maisha, nini kinatokea baada ya kifo n.k. Kwa baadhi ya falsafa ndivyo mambo yalivyo. Lakini (more…)

3152; Umajinuni na ulazima.

By | August 18, 2023

3152; Umajinuni na ulazima. Rafiki yangu mpendwa,Wakati nipo shule ya udaktari, kwenye kitengo cha magonjwa ya akili tulijifunza magonjwa mengi na sifa zake.Tulikuwa na tabia ya kutaniana ukiambiwa lazima upate ugonjwa mmoja wa akili mtu utachagua upo? Magonjwa ya akili yapo mengi kitabibu. Lakini kimazoea watu mpaka waone mtu anaokota (more…)

3151; Tayari tumeshashinda.

By | August 17, 2023

3151; Tayari tumeshashinda. Rafiki yangu mpendwa,Kwenye mchezo wa aina yoyote ile, kushinda au kushindwa huwa kunaanzia nje ya uwanja.Yaani timu inaingia uwanjani ikiwa tayari ina matokeo.Kinachokwenda kufanyika uwanjani ni kukamilisha tu mchezo kama ulivyopangwa.Hiyo haimaanishi kwamba wamependelewa kupewa ushindi, bali inamaanisha hawapo tayari kupokea kingine isipokuwa ushindi. Lakini pia kuna (more…)

3150; Tatu ndani ya moja.

By | August 16, 2023

3150; Tatu ndani ya moja. Rafiki yangu mpendwa,Unaweza kudhani tayari unajua kila kitu kuhusu matumizi bora ya muda wako kwenye kupata uzalishaji na ufanisi mkubwa.Lakini hivyo sivyo ilivyo.Bado kuna mengi hujayajua kwenye matumizi bora ya muda.Na kupata uzalishaji na ufanisi mkubwa kwenye muda ni kitendawili kikubwa kwa watu wengi. Mwanafalsafa (more…)

3149; Miaka 100.

By | August 15, 2023

3149; Miaka 100. Rafiki yangu mpendwa,Nikiwa mkubwa, nataka kuwa kama Charlie Munger 🤗🤗 Sababu ni 5;1. Ni bilionea.Mimi; Nitakuwa bilionea. 2. Ana miaka 99 na anaendelea kufanya kazi. Mimi; Nitaishi zaidi ya miaka 100 na nitafanya kazi maisha yangu yote. 3. Muda mwingi wa siku yake (asilimia 80) anautumia kusoma.Mimi; (more…)

3148; Mchezo wenye ushindi wa uhakika kwako.

By | August 14, 2023

3148; Mchezo wenye ushindi wa uhakika kwako. Rafiki yangu mpendwa,Watu wengi sana wamekuwa mashabiki na wafuatiliaji wa michezo.Pale timu wanazozishabikia zinapocheza, wanakuwa tayari kuacha kila kitu ili wasikose mchezo huo. Kinachowafanya watu kushabikia sana michezo ni kupenda ushindi.Kila mtu anapenda kupata ushindi kwenye maisha yake.Lakini kupata ushindi kwa mtu binafsi (more…)

3147; Tumia sababu zote za kushindwa.

By | August 13, 2023

3147; Tumia sababu zote za kushindwa. Rafiki yangu mpendwa,Wote tunakumbuka wakati tupo shuleni.Tulijua kuna mitihani ambayo inakuja.Pale tulipojiandaa vyema na mitihani hiyo na ikatokea tukafanya vibaya, huwa hatuumii sana, kwa sababu tunajua tumefanya kila kitu.Lakini pale ambapo hatukujiandaa vyema na ikatokea tumefanya vibaya, huwa tunaumia sana.Tunajiambia kama tungejiandaa vyema, huenda (more…)

Kwa Nini Dini Zote Zinapaswa Kuwa Na Uvumilivu

By | August 12, 2023

Mpendwa mstoa mwenzangu, Jana kwenye falsafa ya kwanza ya Ustoa tulijifunza umuhimu wa kuwa na afya ya akili, mwili na roho. Na tuliona kwamba , binadamu huwezi kukamilika kama hujakamilika kwenye maeneo hayo. Eneo la kiroho ndiyo eneo ambalo watu wengi bado hawajalipatia na linawafanya watu wengi kukosa shukrani na (more…)

3146; Hujifunzi, una ahirisha.

By | August 12, 2023

3146; Hujifunzi, una ahirisha. Rafiki yangu mpendwa,Tunaishi kwenye zama za maarifa na taarifa.Hizi ni zama ambazo maarifa na taarifa zinapatikana kwa wingi na urahisi sana.Kila mtu anaweza kujifunza chochote kile anachotaka bure kabisa au kwa gharama ndogo sana. Tungetegemea kwenye zama kama hizi watu wajifunze kwa wingi sana na waweze (more…)