Barua ya XIV; Kuhusu kujitenga na dunia.

By | August 4, 2023

Barua ya XIV; Kuhusu kujitenga na dunia. Rafiki yangu Mstoa,Inapokuja swala la kuishi kifalsafa, watu wengi wanaweza wasikuelewe.Unapochagua kuishi maisha ambayo ni ya tofauti na wengine, inaleta hali ya kushindwa kuelewana nao. Hilo linaweza kupelekea mtu kutamani kujitenga na dunia ili kuondokana na hali hiyo ya usumbufu.Lakini hilo siyo sahihi, (more…)

3138; Malengo potoshi.

By | August 4, 2023

3138; Malengo potoshi. Rafiki yangu mpendwa,Kila mtu kwenye maisha ana malengo. Wanaofanikiwa wanakuwa na malengo.Kadhalika pia kwa wale wanaoshindwa, huwa wanakuwa na malengo pia. Hapa unaweza kujiuliza tofauti ya watu inatokea wapi kama wote wana malengo?Jibu ni kwamba tofauti inaanzia kwenye ubora wa malengo.Watu wanaofanikiwa huwa wanakaa chini na kuweka (more…)

3137; Hivi kesho jua litachomoza?

By | August 3, 2023

3137; Hivi kesho jua litachomoza? Rafiki yangu mpendwa,Hebu fikiria kama hilo ndiyo swali ambalo ungekuwa unajiuliza kila siku kabla ya kulala, iwapo jua litachomoza au la.Fikiria ingebidi ujiulize hivyo kwa sababu jua linakuwa halieleweki, kuna siku linachomoza na kuna siku halichomozi kabisa au linachelewa.Unadhani maisha yako yangekuwa sawa na yalivyo (more…)

3136; Ukatili wa asili.

By | August 2, 2023

3136; Ukatili wa asili. Rafiki yangu mpendwa,Asili huwa inafanya maamuzi yake kwa namna yake yenyewe.Maamuzi yanayofanywa na asili huwa hayaangalii matakwa ya watu. Kama asili ingekuwa ni mtu kwenye hayo maeneo yote yanayofanyiwa maamuzi, angeonekana kuwa mtu mwenye roho mbaya sana na asiyejali.Hiyo ni kwa sababu watu watakuwa na maelezo (more…)

3135; Utamchagua nani?

By | August 1, 2023

3135; Utamchagua nani? Rafiki yangu mpendwa,Safari yetu ya mafanikio makubwa tunayoyataka inawategemea sana watu.Hakuna namna tunaweza kufikia mafanikio makubwa kabisa sisi peke yetu. Kadiri lengo letu la mafanikio linavyokuwa kubwa, ndivyo pia idadi ya watu tunaowahitaji inavyokuwa kubwa zaidi.Hivyo sehemu kubwa sana ya maamuzi utakayokuwa unayafanya kila siku ni kuhusu (more…)

3134; Maswali mawili yatakayokuwezesha kuuza zaidi.

By | July 31, 2023

3134; Maswali mawili yatakayokuwezesha kuuza zaidi. Rafiki yangu mpendwa,Leo napenda nikupe taarifa ambazo zitakushtua kidogo.Taarifa hizo zitakushtua kwa sababu ni tofauti kabisa na matarajio uliyonayo. Kwenye biashara yako una wateja ambao tayari wananunua kwako mara kwa mara.Lakini je unajua ni kwa kiasi gani wateja hao wanajua vitu vyote unavyoweza kuwauzia? (more…)

3133; Watu ambao hutaki kuwabadilisha.

By | July 30, 2023

3133; Watu ambao hutaki kuwabadilisha. Rafiki yangu mpendwa,Ndiyo maisha ni magumu, lakini huwa tunazidisha ugumu wake kwa kutaka vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wetu kuvidhibiti.Tunajihakikishia tutaweza kukamilisha vitu hivyo.Pale tunapojaribu kuvikamilisha na tukashindwa, tunapata sana msongo na kuona maisha ni magumu zaidi. Moja ya eneo ambalo tumekuwa tunazidisha ugumu (more…)

Yajue Yaliyo Ndani Ya Uwezo Wako Na Yaliyo Nje Ya Uwezo Wako

By | July 29, 2023

Habari njema rafiki yangu mstoa mwenzangu, Mchezo mzima maisha yetu uko hapa. Kama tukiweza kuyajua yale ambayo yako ndani ya uwezo wetu na yale ambayo yako nje ya uwezo wetu tutaweza kuishi maisha yetu kwa uhuru zaidi.Mambo mengine yanatokea yanatupa hofu kwa nini yametokea bila kujua hata hatuwezi kuyadhibiti kutokea (more…)

3132; Viwango vimeshushwa sana.

By | July 29, 2023

3132; Viwango vimeshushwa sana. Rafiki yangu mpendwa,Watu wengi huwa wana tabia ya kulalamikia mfumo wa elimu kwamba viwango vya ufaulu vimeshushwa sana.Kwa ufaulu mkubwa ambao watoto wa siku hizi wanakuwa nao, mtu yeyote aliyesoma zamani anaona kama angesoma zama hizi, basi na yeye angepata ufaulu mkubwa sana.Na hapo mtu hajaweka (more…)

Barua ya XIII; Kuhusu hofu zisizo za msingi.

By | July 28, 2023

Barua ya XIII; Kuhusu hofu zisizo za msingi. Rafiki yangu Mstoa, Sisi kama binadamu huwa tuna malengo na mipango mbalimbali kwenye maisha yetu.Kuna namna ambavyo huwa tunataka maisha yetu yawe.Lakini pamoja na malengo na mipango hiyo, bado kwa sehemu kubwa maisha ya wengi yamekuwa yakiishia kuwa ya kawaida.Wengi wanashindwa kuchukua (more…)