3131; Subiri.

By | July 28, 2023

3131; Subiri. Rafiki yangu mpendwa,Kadiri ninavyojifunza, kufuatilia na kuishi maisha ya kujenga mafanikio makubwa, ndivyo ninavyozidi kuona jinsi ambavyo kushindwa kwa walio wengi kunatokana na kukosa subira. Kabla sijaendelea kutetea hilo na kukushawishi uwe na subira zaidi, tuangalie mfano wa asili kabisa kwenye hilo. Ili mti uote, unahitaji vitu vinne; (more…)

3130; Hata usipofanya, bado yatatokea.

By | July 27, 2023

3130; Hata usipofanya, bado yatatokea. Rafiki yangu mpendwa,Sababu nyingi tunazojipa kwa nini tumeshindwa kufanya mambo ya tofauti na makubwa siyo sahihi.Huwa ni visingizio tu vya kujifariji kwa namna ambayo hatutaumia kwa uzembe wetu wenyewe. Hivi karibuni nilikuwa natoa mafunzo ya mauzo kwenye moja ya timu tunazozifundisha.Nilichowafundisha ilikuwa ni dhana ya (more…)

3129; Ni kodi unayotakiwa kulipa.

By | July 26, 2023

3129; Ni kodi unayotakiwa kulipa. Rafiki yangu mpendwa,Maisha yetu yamekuwa magumu na yenye changamoto mbalimbali kwa sababu ya matarajio yasiyokuwa sahihi ambayo tunakuwa nayo. Tunataka dunia iende kama tunavyotaka sisi wenyewe, wakati dunia haijui hata kama tupo hai.Dunia huwa inajiendesha kwa kanuni zake za asili, bila ya kujali nini sisi (more…)

3128; Kazi na muda.

By | July 25, 2023

3128; Kazi na muda. Rafiki yangu mpendwa,Kuna vitu ambavyo huwa havijali kabisa kuhusu wewe na unafanya nini.Vitu hivyo huwa vinataka mtu kuvichukulia hatua mara moja kama anataka kunufaika navyo.Na kama mtu hatakuwa tayari kuchukua hatua kwenye vitu hivyo, haviwezi kumsubiri, bali vinasonga mbele. Vitu vyenye sifa hizo ni vingi, lakini (more…)

3127; Nilikuwa nakufikiria.

By | July 24, 2023

3127; Nilikuwa nakufikiria. Rafiki yangu mpendwa,Pata picha umempigia mtu simu na akaanza kwa kukuambia bora umempigia maana alikuwa anakufikiria, utajisikiaje?Halafu pia pata picha mtu amekupigia simu na kuanza kwa kukuambia alikuwa anakufikiria, utajisikiaje? Katika hali zote, utajisikia vizuri, kwamba mtu amekuwa anakufikiria, maana yake wewe ni wa muhimu kwake.Lakini kwenye (more…)

3126; Usichezee ‘matirio’

By | July 23, 2023

3126; Usichezee ‘matirio’ Rafiki yangu mpendwa,Hebu pata picha mtu amenunua basi lenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 30, lakini anaamua kulitumia kama usafiri binafsi.Kwa hakika utashangazwa na jinsi rasilimali hiyo itakavyokuwa imetumika vibaya. Au mtu ananunua kompyuta yenye uwezo mkubwa wa kurahisisha majukumu mengi, ila mtu anaamua kuitumia kusikiliza (more…)

Mtu Ambaye Hawezi Kujifunza Kitu Kipya

By | July 22, 2023

Mpendwa mstoa mwenzangu, Tuko katika zama za ujuaji, kila mtu ni mtaalamu kwa msaada wa mtandao wa intaneti. Kila mtu ni daktari, mwalimu, mwanasheria na vile vingine vyote unavyovijua wewe. Watu wamekuwa wajuaji, kiasi kwamba hawataki tena kujifunza, watu wamejikuta ni wajuaji lakini hawana kitu hata wanachojua, mtu ambaye hapati (more…)

3125; Tengeneza bahati yako mwenyewe.

By | July 22, 2023

3125; Tengeneza bahati yako mwenyewe. Rafiki yangu mpendwa,Umewahi kukutana na mtu ambaye amepata mafanikio makubwa ambayo kwa uwezo wake siyo kitu cha kutegemewa?Jibu litakuwa ni ndiyo na huwa tunapokutana na watu wa aina hii, moja kwa moja tunajiambia wana bahati. Au hata huenda ni wewe mwenyewe, kuna hatua ambazo umepiga (more…)

Barua ya XII; Kuhusu uzee.

By | July 21, 2023

Barua ya XII; Kuhusu uzee. Rafiki yangu Mstoa,Wote tunajua mwenendo wa maisha yetu hapa duniani.Tunazaliwa, kukua, kuzeeka na kufa. Katika kukua tunapitia utoto, ujana, utu uzima na hatimaye uzee.Japo siyo lazima mtu apite hatua zote, wapo wanaokufa utotoni, wengine ujanani, wengine wakiwa watu wazina na wengine uzeeni. Katika hatua hizo (more…)

3124; 1, 10, 100, 1,000 na kuendelea.

By | July 21, 2023

3124; 1, 10, 100, 1,000 na kuendelea. Rafiki yangu mpendwa,Mafanikio yoyote unayoyataka kwenye maisha yako, ni muhimu ukawa na namba za kuyapima.Hiyo ni kwa sababu kitu chochote kile ambacho hakipimwi, hakiwezi kuboreshwa wala kukuzwa. Pamoja na umuhimu huo mkubwa wa namba na kupima, bado watu wengi sana hawana namba wanazojipima (more…)