3123; Chini ya kumi ni sifuri.

By | July 20, 2023

3123; Chini ya kumi ni sifuri. Rafiki yangu mpendwa,Maisha yetu hapa duniani huwa yanaendeshwa kwa kanuni nyingi sana za asili.Ni kwa kufuata kanuni hizo ndiyo tunapata yale tunayoyataka kwenye maisha yetu. Moja ya kanuni muhimu sana kwenye safari ya mafanikio ni kanuni ya wastani.Kanuni hiyo inaeleza kwamba kuna wastani wa (more…)

3122; Kukosa tatizo ni tatizo.

By | July 19, 2023

3122; Kukosa tatizo ni tatizo. Rafiki yangu mpendwa,Kuna watu huwa wanajipa matumaini hewa na ambayo yamekuwa kikwazo kikubwa kwenye maisha yao. Moja ya matumaini hewa ambayo yamewapoteza wengi ni kusubiri mpaka matatizo waliyonayo yaishe ndiyo waweze kufanya yale wanayotaka kufanya. Wanachokuja kugundua ni kwamba pale tatizo moja linapotatuliwa, matatizo mengine (more…)

3121; Nioge au nisioge?

By | July 18, 2023

3121; Nioge au nisioge? Rafiki yangu mpendwa,Kuna vitu ambavyo huwa unavifanya kwenye maisha yako bila ya kuwa na mjadala kama uvifanye au la. Fikiria kuoga, ukifika wakati wa kufanya hivyo huwa hujiulizi iwapo uoge au usioge, huwa unaoga.Kadhalika kupiga mswaki, haina mjadala, unapofika wakati wa kufanya hivyo, unafanya.Hivyo pia ndivyo (more…)

3120; Omba unapojua utakataliwa.

By | July 17, 2023

3120; Omba unapojua utakataliwa. Rafiki yangu mpendwa,Hofu imekuwa inawazuia sana watu wengi kuchukua hatua kubwa kwenye maisha yao.Hizo ni hatua ambazo mtu anapaswa kuchukua ili kuweza kupata kile anachotaka. Moja ya hofu ambazo zimewazuia watu wengi ni hofu ya kukataliwa.Watu wanahofia kuomba kitu wanachokitaka kwa watu, kwa sababu wanajua kwenye (more…)

3119; Watu, matatizo, biashara, fedha.

By | July 16, 2023

3119; Watu, matatizo, biashara, fedha. Rafiki yangu mpendwa,Hii dunia ina watu,Watu hao wana matatizo mbalimbali. Biashara zenye mafanikio huwa zinajengwa kwenye msingi wa kutatua matatizo ambayo watu wanayo.Na fedha nyingi inaweza kutengenezwa kupitia biashara inayotatua matatizo ya watu. Hayo maelezo hapo juu yamebeba kila kitu ambacho mtu anapaswa kukijua ili (more…)

3118; Watu wengi wanataka ufanikiwe, mpaka utakapofanikiwa.

By | July 15, 2023

3118; Watu wengi wanataka ufanikiwe, mpaka utakapofanikiwa. Rafiki yangu mpendwa, Unapokuwa na malengo ya mafanikio makubwa, huwa unapata uungwaji mkono na watu walio wengi kwenye maisha yako.Unaposhirikisha malengo na mipango mikubwa unayokuwa nayo, wengi wanafurahia kwa sababu unakuwa unawafanya wakumbuke malengo makubwa ambayo walikuwa nayo pia.Watakutia sana moyo kwamba upambane (more…)

Barua ya XI; Kuhusu tabia za asili.

By | July 14, 2023

Barua ya XI; Kuhusu tabia za asili. Rafiki yangu Mstoa, Watu huwa tuna tabia mbalimbali ambazo tunakuwa nazo.Baadhi ya tabia hizo huwa ni za asili kwetu, yaani tumezaliwa nazo, wakati tabia nyingine huwa tunaziiga. Kuna wakati tabia tunazokuwa nazo zinakuwa kikwazo kwetu na hivyo kutaka kuzibadili.Kwa tabia za kuiga, huwa (more…)

3117; Usife.

By | July 14, 2023

3117; Usife. Rafiki yangu mpendwa,Bilionea Charlie Munger, mshirika wa karibu wa Warren Buffett huwa anaishi kwa kanuni hii; “Ninachotaka kujua ni wapi nikienda nitakufa, ili nisiende hapo.”Anaiita kanuni ya kugeuza, kuanza na matokeo fulani kisha kujiuliza nini kifanyike kwa sasa kuzuia. Munger ana miaka 99 na ni Bilionea, hivyo hiyo (more…)

3116; Kutokuaminika na wengine.

By | July 13, 2023

3116; Kutokuaminika na wengine. Rafiki yangu mpendwa,Watu wengi huwa wanadhani ili waaminike na wengine basi wanapaswa tu kuwa waaminifu.Wanaona kama hawaibi, hawadanganyi au kumdhulumu mtu yeyote basi ni waaminifu. Ni mpaka pale mtu anapokosa kitu anachokitaka sana kutoka kwa wengine ndiyo anagundua kuaminika ni zaidi tu ya kuwa na matendo (more…)