3107; Kitu pekee kinachokuzuia.

By | July 4, 2023

3107; Kitu pekee kinachokuzuia. Rafiki yangu mpendwa,Ni ukweli usiopingika kwamba ili kupata mafanikio makubwa, lazima uchukue hatua kubwa sana.Hatua ambazo hujawahi kuzichukua na wala hazijazoeleka kwa wale wanaokuzunguka. Wale wote waliofanikiwa sana, huwa wanalijua hilo vizuri na wanalitekeleza. Wanajua hakuna mbadala wa kuchukua hatua kubwa, hivyo wanaanza kufanya hivyo mapema (more…)

3106; Kitu cha kwanza kufanya kila unapoamka asubuhi.

By | July 3, 2023

3106; Kitu cha kwanza kufanya kila unapoamka asubuhi. Rafiki yangu mpendwa,Kwenye zama tunazoishi sasa, zama za teknolojia ambapo simu zetu janja (smartphones) zimeshika sehemu kubwa ya maisha yetu, huwa ndiyo kitu ambacho tunakigusa mara nyingi zaidi. Huwa natania kwamba mtu anaweza kuamka asubuhi, kabla hata hajajua kama anaweza kutembea au (more…)

3105; Anasa za watu wa kawaida.

By | July 2, 2023

3105; Anasa za watu wa kawaida. Rafiki yangu mpendwa,Watu wa kawaida, ambao ndiyo wengi, huwa hawapati mafanikio makubwa kwenye maisha yao.Na sababu kubwa kabisa inayozuia watu hao wa kawaida wasipate mafanikio ni kusumbuliwa na anasa nyingi ambazo zinahamisha sana umakini wao. Watu hao huwa wanaridhika sana haraka na vitu ambavyo (more…)

3104; Ishara moja, maneno matano. LAZIMA.

By | July 1, 2023

3104; Ishara moja, maneno matano. LAZIMA. Rafiki yangu mpendwa,Moja ya malengo makubwa tunayoyafanyia kazi kwenye biashara zetu ni kujenga wateja waaminifu.Wateja waaminifu ni wale wanaorudi tena kununua, wananunua kwa wingi na wanakupa wateja wa rufaa. Huwa inashangaza pale unapoona biashara inakazana kutafuta wateja wapya kila wakati, huku kukiwa hakuna wateja (more…)

3103; Msimamo pekee hautoshi.

By | June 30, 2023

3103; Msimamo pekee hautoshi. Rafiki yangu mpendwa,Tunajua umuhimu wa msimamo kwenye safari yetu ya mafanikio.Hakuna kitu tunaweza kufanya mara moja au mara chache na kikatupa mafanikio makubwa.Mafanikio makubwa yanatokana na kufanya kwa msimamo kwa muda mrefu bila kuacha. Lakini msimamo peke yake hautoshi.Kuwa na msimamo kwenye kitu ambacho siyo sahihi (more…)

3102; Ni kuwa bora, siyo kufurahia tu.

By | June 29, 2023

3102; Ni kuwa bora, siyo kufurahia tu. Rafiki yangu mpendwa,Hakuna kipindi ambapo maarifa ya mafanikio yamekuwa yanapatikana kwa wingi na urahisi. Lakini pia ndiyo wakati ambao watu wanaopata mafanikio makubwa wanayoyataka wamekuwa wachache sana. Ni jambo la kushangaza, iweje maarifa ya mafanikio kupatikana kwa wingi na urahisi, lakini wanaofanikiwa kuwa (more…)

3101; Kushindwa mbele na nyuma.

By | June 28, 2023

3101; Kushindwa mbele na nyuma. Rafiki yangu mpendwa,Watu wengi huwa wanaona kushindwa ni kushindwa tu.Pale wanapopanga kufanya au kupata kitu fulani na wasikipate, hapo ndiyo wanaona wameshindwa. Lakini hilo siyo sahihi,Kushindwa huwa hakufanani.Kwa uhakika ni kuna aina mbili za kushindwa, ambazo ni kushindwa mbele na nyuma. Kushindwa nyuma ni kule (more…)

3100; Wanakutangaza vizuri.

By | June 27, 2023

3100; Wanakutangaza vizuri. Rafiki yangu mpendwa,Maisha huwa yanachanganya sana.Unapokuwa chini na hujafanikiwa, watu wako wa karibu wataonyesha kukupenda na kukuonea huruma.Kwa sababu nao wanakuwa hawajafanikiwa, wanakuwa wanafarijika sana kuwa karibu na wewe. Lakini mambo yanabadilika sana pale unapoamua kushika hatamu ya maisha yako na kufanikiwa.Unapochagua kuweka juhudi kubwa ili kuyabadili (more…)