3099; Usinywe tu, bali ogelea kabisa.

By | June 26, 2023

3099; Usinywe tu, bali ogelea kabisa. Rafiki yangu mpendwa,Safari yetu ya mafanikio ni kama vita.Unapokuwa vitani, chochote kinachoweza kukusaidia kupambana na adui kinatumika vizuri kabisa.Iwe ni silaha, watu, taarifa, mazingira au hata hali ya hewa.Na kadiri kitu kinavyokuwa na manufaa, ndivyo kinavyotumika kwa wingi na ukubwa. Kwenye hii safari ya (more…)

3098; Tatizo la uongo.

By | June 25, 2023

3098; Tatizo la uongo. Rafiki yangu mpendwa,Chanzo kikubwa cha msongo kwenye maisha ya wengi ni uongo.Pale maisha ya mtu yanapokuwa tofauti na uhalisia wake, msongo mkubwa unajengeka ndani yake.Chanzo cha msongo huo mkubwa huwa ni hali ya kuigiza kitu ambacho hakipo. Watu huwa hawalioni tatizo la uongo kwa haraka.Awali wanaanza (more…)

Njia Bora Ya Kulipa Kisasi

By | June 24, 2023

Kiasili sisi binadamu ni watu wa kulipa kisasi, pale mtu anapotutendea ndivyo sivyo huwa hatukubali tunahakikisha tunalipa kisasi. Tusipolipa kisasi katika jamii zetu ni kama vile kuonekana mjinga, ila unapolipa kisasi ndiyo unaonekana mjanja. Jamii imekuwa inakomeshana kwa njia ya visasi. Yote hii ni kwa sababu ya chuki iliyombika ndani (more…)

3097; Usiwaambie, waonyeshe.

By | June 24, 2023

3097; Usiwaambie, waonyeshe. Rafiki yangu mpendwa,Moja ya mahitaji muhimu kwenye safari yetu ya mafanikio ni kuwa na timu bora kabisa. Safari ya mafanikio ni kama maisha ya mwituni, simba hata awe mkali kiasi gani, anahitaji kuwa ndani ya kundi la simba wengine.Simba akiwa peke yake, japo anaweza kuonekana shujaa, huwa (more…)

Barua ya VIII; Jinsi ya kuishi kifalsafa ili kufanikiwa.

By | June 23, 2023

Barua ya VIII; Jinsi ya kuishi kifalsafa ili kufanikiwa. Rafiki yangu Mstoa, Watu wengi wanaposikia kuhusu kuishi kifalsafa, huwa wanaona hiyo siyo kwa ajili yao.Huwa wanadhani kuishi kifalsafa ni kwa ajili ya wale waliosomea falsafa au waliopo kwenye dini na imani za aina mbalimbali. Lakini ukweli ni kwamba, kama unataka (more…)

3096; Mwanzo wa anguko.

By | June 23, 2023

3096; Mwanzo wa anguko. Rafiki yangu mpendwa,Watu wengi huwa wanadhani anguko la mtu kwenye maisha linaanzia kwenye kushindwa.Lakini huo siyo ukweli.Anguko huwa linaanzia kwenye mafanikio na siyo kwenye kushindwa. Huwa kuna usemi kwamba kushindwa ni mwalimu mzuri sana wa mafanikio na kushinda huwa kunazalisha uzembe.Ni pale mtu anaposhindwa ndiyo anapata (more…)

3095; Ongeza shinikizo.

By | June 22, 2023

3095; Ongeza shinikizo. Rafiki yangu mpendwa,Vitu vyote imara kwenye maisha huwa vinatengenezwa kwa shinikizo kubwa.Madini ya almasi, ambayo ndiyo magumu zaidi na yenye thamani kubwa, ni mkaa ambao umepita kwenye shinikizo kubwa na kwa muda mrefu. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwa watu, watu wanaofanikiwa sana, ambao pia ndiyo huwa watu (more…)

3094; Kuchukiwa kwa unachopenda.

By | June 21, 2023

3094; Kuchukiwa kwa unachopenda. Rafiki yangu mpendwa,Ili uweze kupata mafanikio makubwa sana, lazima upende sana kile unachofanya.Ni kwa kupenda unachofanya ndiyo utaweza kukifanya kwa ukubwa na msimamo bila kuacha. Kwa kupenda unachofanya, hakiwi tena kazi kwako, bali kinakuwa kama mchezo.Na hilo ndiyo linalokupa mafanikio makubwa kwa uhakika. Kupenda sana unachofanya (more…)

3093; Ugumu usio na ulazima.

By | June 20, 2023

3093; Ugumu usio na ulazima. Rafiki yangu mpendwa,Maisha na mafanikio huwa ni rahisi,Lakini watu wamekuwa wanayafanya kuwa magumu bila ya ulazima wowote. Watu huwa wanatengeneza ugumu huo kwa kuhangaika kutafuta njia za mkato na ambazo hazihusishi kufanya kazi. Ni jambo la kushangaza, lakini ndivyo ukweli ulivyo.Watu wanayafanya maisha kuwa magumu (more…)

3092; Kamari yenye ushindi wa uhakika.

By | June 19, 2023

3092; Kamari yenye ushindi wa uhakika. Rafiki yangu mpendwa,Kila mtu anataka ushindi kwenye maisha yake.Ni hitaji hilo la ushindi ndiyo limekuwa linawasukuma watu wengi kufanya mambo hata yasiyokuwa na tija, ili tu kuona wameshinda. Tunaona watu wengi wakiwa na ushabiki mkubwa wa michezo mbalimbali. Yote hiyo ni kutaka ushindi.Na kwenye (more…)