3053; Turudi kwenye misingi.

By | May 11, 2023

3053; Turudi kwenye misingi. Rafiki yangu mpendwa,Iwapo unajenga nyumba ya ghorofa, lakini kila unapojaribu kwenda ngazi za juu zaidi unakwama, hapo inabidi urudi kwenye msingi.Unapaswa kuangalia msingi mzima ambapo ghorofa hiyo imejengwa na kama utagundua msingi siyo sahihi basi unapaswa kuuboresha kwanza kabla hujaendelea. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye kila (more…)

3052; Siyo unachotaka, bali unachotoa.

By | May 10, 2023

3052; Siyo unachotaka, bali unachotoa. Rafiki yangu mpendwa,Karibu kila mtu kwenye maisha anataka kupata mafanikio makubwa.Lakini kwenye uhalisia ni watu wachache sana wanaopata mafanikio makubwa wanayoyataka. Tafiti nyingi zimefanywa ili kujua nini kinawatofautisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa.Vitu vingi vya nje ambavyo wengi walidhani ndiyo vinawatofautisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa, vimeonekana kutokuwa na (more…)

3051; Kupanda na kushuka.

By | May 9, 2023

3051; Kupanda na kushuka. Rafiki yangu mpendwa, Safari ya mafanikio huwa ina kupanda na kushuka.Hizo ni pande mbili za safari hiyo, ambazo huwa hazifanani.Upande mmoja unahitaji kazi kubwa wakati upande mwingine hauhitaji kazi yoyote. Kupanda kunahitaji kazi, kunahitaji juhudi kubwa kuwekwa ili kuvuka nguvu kubwa ya mvutano inayofanya vitu vibaki (more…)

3050; Wateke.

By | May 8, 2023

3050; Wateke. Rafiki yangu mpendwa,Kwenye malengo makubwa matatu tunayoyafanyia kazi kwenye kujenga biashara, yaani MFUMO, TIMU na WATEJA, lengo la TIMU ndiyo limekuwa gumu zaidi. Kila ambaye ameshachukua hatua kwenye kujenga timu, amekutana na changamoto nyingi sana.Changamoto ya kwanza ni kukosekana kwa watu sahihi ambao wanaweza kutekeleza majukumu yaliyopo.Changamoto ya (more…)

3049; Mambo ambayo huhitaji kukumbusha, lakini inabidi.

By | May 7, 2023

3049; Mambo ambayo huhitaji kukumbusha, lakini inabidi. Rafiki yangu mpendwa,Kuna mambo ya msingi kabisa kwenye safari ya maisha na mafanikio ambayo huhitaji kuwa unakumbushwa kila mara.Haya ni mambo ambayo unapaswa kuwa unayaelewa kutoka ndani kabisa ya moyo wako. Lakini kwa sababu binadamu tuna tabia ya kusahau mambo, hata yale ya (more…)

Jinsi Ya Kujiandaa Na Magumu

By | May 6, 2023

Rafiki yangu mstoa, wiki iliyopita tulijifunza jinsi ya kukabiliana na magumu na tuliona kwamba magumu ni sehemu ya maisha. Na magumu hayo huwa yanatuumiza sana pale hatuyategemei kwani huwa yanatokea kwa mshtukizo kama vile ajali, kitu ambacho huwa kinatuumiza sana. Ili kuondokana na hali hiyo, wastoa walikuwa wanajiandaa na zoezi (more…)

3048; Usinipange.

By | May 6, 2023

3048; Usinipange. Rafiki yangu mpendwa,Kuna mwenendo fulani ninaouona kwa watu wanaokuwa wananiomba ushauri kwenye mambo mbalimbali.Mtu anaelezea jambo lake jinsi lilivyo na kuomba ushauri wa hatua gani za kuchukua. Tunajadiliana namna bora ya kulikabili jambo linalokuwa mbele ya mtu na kufikia tamati ya hatua sahihi za kwenda kuchukua.Lakini sasa cha (more…)

Barua ya I; Tumia muda wako vizuri.

By | May 5, 2023

Barua ya I; Tumia muda wako vizuri. Rafiki yangu Mstoa, Muda ni rasilimali muhimu sana kwenye maisha yetu.Ndiyo rasilimali pekee ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena.Lakini pamoja na upekee huo wa muda, bado watu wengi hawana udhibiti na muda wao, hivyo kuishia kuupoteza. Unaweza kudhani changamoto ya muda ni kwa zama (more…)

3047; Ni bora uache mapema.

By | May 5, 2023

3047; Ni bora uache mapema. Rafiki yangu mpendwa,Kuna sababu kuu mbili kwa nini watu hawapati kile wanachotaka kwenye maisha yao.Moja ni hawajui kwa hakika nini hasa wanachotaka.Na mbili ni hawajajitoa kweli kweli kupata kile wanachotaka. Pamoja na mahangaiko makubwa ambayo unaona watu wengi wanayo, sehemu kubwa ya watu hao hawajui (more…)

3046; Wapambanie kombe.

By | May 4, 2023

3046; Wapambanie kombe. Rafiki yangu mpendwa,Kadiri chochote kile unachofanya kinavyokuwa rahisi kupatikana, ndivyo wengine wanavyokidharau na kukipuuza. Kama muda wako unapatikana kwa urahisi, watu watautumia hovyo kwa mambo yasiyokuwa na tija.Watakuzamisha kwenye mambo ya hovyo, yanayokula muda wako na yasiyokuwa na tija yoyote kwenye yale unayofanya au unayotaka kufikia. Kadhalika (more…)