2989; Tusipingane na asili.

By | March 8, 2023

2989; Tusipingane na asili. Rafiki yangu mpendwa,Kuna mambo yanayokuwa yanatokea, ambayo tunaweza kuwa hatukubaliani nayo au yanakuwa kikwazo kwetu.Kwa kuwa tunataka kupata vitu fulani tunavyotaka, tunaona ni wajibu wetu kukabiliana na hayo yaliyotokea ili yasiwe kikwazo kwetu.Na hapo ndipo tunapotengeneza matatizo makubwa yanayogharimu muda wetu mwingi na kuwa kikwazo kwa (more…)

2988; Una machaguo matatu.

By | March 7, 2023

2988; Una machaguo matatu. Rafiki yangu mpendwa,Inapokuja kwenye kuajiri kwenye biashara, una machaguo matatu. Chaguo la kwanza ni kutafuta wafanyakazi ambao tayari ni bora kabisa kisha kuwaajiri hao na wakakupa matokeo makubwa na mazuri sana.Changamoto ya chaguo hili ni uhaba na gharama, wafanyakazi walio bora ni adimu sana kupatikana na (more…)

2987; Hatua tano za kutatua tatizo lolote.

By | March 6, 2023

2987; Hatua tano za kutatua tatizo lolote. Rafiki yangu mpendwa,Matatizo ni sehemu ya maisha.Kadiri ndoto zako zinavyokuwa kubwa, ndivyo pia matatizo unayokutana nayo yanavyokuwa makubwa.Hapa tunakwenda kujifunza hatua tano za uhakika za kutatua tatizo lolote lile. Hatua ya kwanza ni kulijua tatizo.Ipo kauli inayosema kulijua tatizo ni nusu ya kulitatua.Kwa (more…)

2986; Wewe na ndoto yako kubwa.

By | March 5, 2023

2986; Wewe na ndoto yako kubwa. Rafiki yangu mpendwa,Kwa bahati nzuri sana, kila mmoja wetu tayari ana ndoto kubwa ya maisha yake. Ila kwa bahati mbaya, wengi hawathubutu kuzipambania ndoto hizo, kutokana na aina ya watu ambao wanawazunguka. Wewe unapaswa kuijua na kuipambania ndoto yako bila kujali kitu kingine chochote. (more…)

2985; Usipoteze hiyo kazi ambayo umeshaweka.

By | March 4, 2023

2985; Usipoteze hiyo kazi ambayo umeshaweka. Rafiki yangu mpendwa,Tofauti ya kufanikiwa na kushindwa siyo akili wala juhudi zinazowekwa. Wanaofanikiwa na wanaoshindwa hawatofautiani sana kiakili.Na juhudi wanazokuwa nazo pia hazitofautiani sana. Tofauti kubwa ya wanaofanikiwa na wanaoshindwa inaanzia kwenye msimamo.Wanaofanikiwa wanapeleka juhudi zao kwenye jambo moja kwa muda mrefu.Wakati wanaoshindwa wanahamisha (more…)

2983; Ongeza kasi ili kuwa imara.

By | March 2, 2023

2983; Ongeza kasi ili kuwa imara. Rafiki yangu mpendwa,Kama umewahi kuendesha baiskeli unajua kitu kimoja, kama inayumba yumba, ili kuifanya iwe na mwendo imara na wa utulivu, unapaswa kuongeza kasi zaidi.Ndiyo kwa kuiweka baiskeli kwenye mwendo wa kasi kubwa, unaipa utulivu na uimara mkubwa kwenye mwendo wake. Hivyo pia ndivyo (more…)

2982; Kupangiwa cha kufanya.

By | March 1, 2023

2982; Kupangiwa cha kufanya. Rafiki yangu mpendwa,Tunajua maisha ni magumu na yana changamoto za kila aina.Lakini sehemu kubwa ya ugumu wa maisha huwa tunaisababisha sisi wenyewe.Hasa kutokana na matarajio tunayokuwa nayo kwenye yale tunayofanya. Kwenye kila eneo la maisha, ugumu na urahisi huwa vinapishana.Chochote ambacho tunakifanya kwa urahisi huwa kinakuwa (more…)

2981; Fanya kinachopaswa kufanyika.

By | February 28, 2023

2981; Fanya kinachopaswa kufanyika. Rafiki yangu mpendwa,Ili uweze kupata matokeo makubwa unayoyataka, lazima ufanye mambo mapya, makubwa na magumu.Na ili uweze kufanya mambo hayo magumu, lazima ujitoe kafara. Unapaswa kufanya kinachopaswa kufanyika na siyo unachotaka kufanya au unachoweza kufanya.Unapaswa ujitoe kupitiliza na siyo kujiwekea ukomo wa nini unaweza na nini (more…)

2980; Kubali kupitwa.

By | February 27, 2023

2980; Kubali kupitwa. Rafiki yangu mpendwa,Inapokuja kwenye swala la mafanikio, wengi huwa na mtazamo wa kutokukubali kupitwa na chochote.Lakini huo ni mtazamo ambao unakuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kupata mafanikio makubwa. Tamaa huwafanya wengi kuhangaika na mengi wakidhani watairahisisha safari ya mafanikio, lakini kwa uhalisia wanaishia kuwa wameirefusha safari hiyo. (more…)