2949; Upendeleo.
2949; Upendeleo. Rafiki yangu mpendwa, Miaka ya nyuma niliwahi kuongea na rafiki yangu ambaye alikuwa ameomba kazi ya udaktari kwenye shirika fulani kubwa. Alikuwa ananishirikisha baadhi ya maswali aliyoulizwa wakati wa usaili.Moja ya maswali aliyoulizwa ni iwapo kuna foleni ya watu wanasubiria kuingia kwa daktari na kuna mtu wa kawaida (more…)