3265; Kazi ambayo ni mchezo kwako.
3265; Kazi ambayo ni mchezo kwako. Rafiki yangu mpendwa,Njia pekee ya kuwa mbele ya wengine na kufanya makubwa ni kupenda vitu ambavyo wengine hawavipendi.Vitu ambavyo ni muhimu vifanyike, ila wengine hawapendi kabisa kuvifanya, huku wewe ukiwa unapenda kweli kuvifanya. Unapata mafanikio makubwa kwenye kile ambacho kwako ni mchezo, ila kwa (more…)