3255; Uhakika wa ushindi.

By | November 29, 2023

3255; Uhakika wa ushindi. Rafiki yangu mpendwa,Kuna watu ambao wana uhakika wa ushindi kwenye maisha yao.Siyo kwa sababu mambo yanakuwa rahisi ila kwa sababu wao wanakuwa wagumu kiasi kwamba hakuna kinachoweza kuwazuia kufanikiwa. Maisha yanaweza kuwachelewesha.Maisha yanaweza kuwachanganya.Lakini ile nia yao ya ushindi haifi kamwe.Ni nia hiyo ndiyo inayoendelea kuwasukuma (more…)

3254; Farasi wa kuchonga.

By | November 28, 2023

3254; Farasi wa kuchonga. Rafiki yangu mpendwa,Kama umewahi kuwaona watoto wakiwa kwenye mchezo ambao wamepanda farasi wa kuchonga, wanakuwa na furaha sana.Wanaona wakiwa wamepanda farasi anayekwenda mbio, lakini kiuhalisia hakuna mahali wanakuwa wameenda.Mbio zinakuwa nyingi, lakini wanakuwa wamebaki pale pale. Hivyo pia ndivyo watu wazima wengi wanavyoshindwa kwenye maisha.Wanaonekana wakiwa (more…)

3253; Magumu na ya msingi.

By | November 27, 2023

3253; Magumu na ya msingi. Rafiki yangu mpendwa,Biashara nyingi zimekuwa zinashindwa kwa sababu waendeshaji wa biashara hizo wamekuwa wanahangaika na mambo magumu kabla hawajabobea kwenye yale ya msingi. Ni vizuri sana kuanza biashara ukiwa na maono makubwa.Lakini kwenye kutekeleza maono hayo makubwa, haimaanishi kuhangaika na mambo magumu mwanzoni.Kinachotakiwa ni kufanya (more…)

3252; Kabla ya kujifunza kushinda.

By | November 26, 2023

3252; Kabla ya kujifunza kushinda. Rafiki yangu mpendwa,Kila mtu anataka kupata ushindi mkubwa kwenye maisha yake.Lakini wanaopata ushindi huo mkubwa na unaodumu huwa ni wachache.Wengi huwa wanapata ushindi ambao huwa unawapoteza kabisa. Ukweli ni kwamba kabla mtu hajajifunza kushinda, lazima kwanza ashindwe.Ni kupitia kushindwa ndiyo mtu anajifunza mambo mengi ya (more…)

3251; Unaowahofia siyo sahihi.

By | November 25, 2023

3251; Unaowahofia siyo sahihi. Rafiki yangu mpendwa,Kila tunapofanya jambo jipya na kubwa huwa unapatwa na hali ya hofu. Hofu ni kiashiria kwamba unafanya kitu kikubwa au kipya kuliko ulivyozoea.Wengi wamekuwa wanatumia hofu wanazokutana nazo kama sababu ya kuacha. Lakini hilo halipaswi kuwa hivyo.Hofu haipaswi kutufanya tuache.Bali inapaswa kuwa kichocheo cha (more…)

3250; Tayari unalipa hiyo gharama.

By | November 24, 2023

3250; Tayari unalipa hiyo gharama. Rafiki yangu mpendwa,Kwenye uzalishaji huwa kuna dhana kwamba kama kampuni inahitaji kupata zana fulani ambayo itaongeza uzalishaji, lakini ikawa haiwezi kumudu gharama za zana hiyo, tayari inakuwa inalipa hiyo gharama.Hiyo ni kwa sababu kwa kampuni kukosa hiyo zana, inakuwa na uzalishaji mdogo na hivyo kukosa (more…)

3249; Maarifa pekee hayatoshi.

By | November 23, 2023

3249; Maarifa pekee hayatoshi. Rafiki yangu mpendwa,Moja ya mapingamizi ya watu wasiopenda kusoma vitabu ni kwamba hata waandishi na wauzaji wa vitabu hivyo hawajaweza kunufaika na kile kilichoandikwa kwenye vitabu hivyo. Huwa kuna utani kwamba mtu aliandika kitabu cha jinsi ya kupata mtaji wa kuanza biashara. Lakini akashindwa kuchapa kitabu (more…)

3248; Endelea na huo mpango.

By | November 22, 2023

3248; Endelea na huo mpango. Rafiki yangu mpendwa,Huwa tunakuwa na malengo makubwa, ambayo tunayawekea mipango ya kuyatekeleza malengo hayo na kuyafikia. Tukishaweka mipango huwa tunakuwa na shauku kubwa ya kuitekeleza, tukiona jinsi ilivyo rahisi na uhakika kufikia malengo hayo.Yote hiyo ni mipango, ambayo bado tunakuwa hatujaanza utekelezaji wake. Ni pale (more…)

3247; Kama ungeanza upya.

By | November 21, 2023

3247; Kama ungeanza upya. Rafiki yangu mpendwa,Moja ya vikwazo vinavyowazuia watu kufanikiwa ni mwili na roho kutokuwa sehemu moja.Unakuta kile ambacho mtu anafanya na kile ambacho angependa kufanya ni tofauti kabisa. Mtu anakuwa anafanya kitu ambacho kama angekuwa anaanza upya kufanya, asingekifanya.Kinachomfanya aendelee kuwa kwenye kitu hicho ni kwa sababu (more…)

3246; Ushindi unaotaka.

By | November 20, 2023

3246; Ushindi unaotaka. Rafiki yangu mpendwa,Ushindi wowote unaoutaka kwenye maisha yako, unawezekana kama tu utaacha kuwa na mashaka na kukataa kushindwa.Hivyo ndivyo vitu viwili ambavyo vimekuwa vinawakwamisha watu wengi kupata ushindi. Mashaka hayapaswi kupewa nafasi kama mtu unataka kupata ushindi mkubwa.Ukishakuwa tu na mashaka, unakuwa umeshikilia breki na hivyo huwezi (more…)