3245; Kabla ya kuhangaika na magumu.

By | November 19, 2023

3245; Kabla ya kuhangaika na magumu. Rafiki yangu mpendwa,Kwenye safari ya mafanikio, watu huwa wanapenda kuhangaika na mambo makubwa na magumu.Lakini unakuta watu hao hao bado hawajaweza kufanya yale ya msingi kabisa kwenye eneo husika. Yale ya msingi huwa yanaoneka ni rahisi na yasiyo na mchango mkubwa.Lakini ndiyo mambo magumu (more…)

3244; Mara moja moja na kila mara.

By | November 18, 2023

3244; Mara moja moja na kila mara. Rafiki yangu mpendwa,Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu unaweza kujikusanya na kuyafanya mara moja moja.Yanaweza kuwa mambo makubwa na ya kishujaa, ambayo wengi hawawezi kuyafanya. Lakini bado ni mambo ambayo hayawezi kumpa mtu mafanikio makubwa.Hiyo ni kwa sababu mafanikio siyo zao la kufanya (more…)

3243; Vitu vinavyokupa ushindi.

By | November 17, 2023

3243; Vitu vinavyokupa ushindi. Rafiki yangu mpendwa,Msukumo wa kwanza kwetu kwenye chochote tunachofanya ni kupata ushindi.Kila mtu anapenda ushindi, ni kiashiria kwamba mambo yamefanyika kwa usahihi. Lakini watu ambao wamekuwa wanapata ushindi mzuri na unaodumu wamekuwa ni wachache sana.Zipo sababu nyingi ambazo zimekuwa zinawakwamisha wengi wasipate ushindi mkubwa wanaoutaka. Moja (more…)

3242; Hujataka vya kutosha.

By | November 16, 2023

3242; Hujataka vya kutosha. Rafiki yangu mpendwa,Kama haupo tayari kutoa kafara na kupoteza vitu ulivyonavyo ili kupata kile unachotaka, basi jua hujakitaka vya kutosha.Na kitu chochote ambacho hujakitaka vya kutosha, huwezi kukipata. Kwa kitu chochote kile unachokuwa unakitaka, huwa kuna changamoto na vikwazo mbalimbali kwenye kukipata.Kama hujajitoa kweli kupata kitu, (more…)

3241; Kufanya na kupiga hatua.

By | November 15, 2023

3241; Kufanya na kupiga hatua. Rafiki yangu mpendwa,Ni wengi wanaokuwa na mipango mikubwa kwenye maisha yao.Lakini wanaochukua hatua ya kufanya kwenye mipango waliyonayo ni wachache sana. Watu wanaopanga lakini hawafanyi, siyo kwa sababu hawawezi kufanya, bali ni kwa sababu wanakosa mwongozo sahihi wa kufanya. Ili wewe uweze kufanya na kupiga (more…)

3240; Ukuaji na changamoto.

By | November 14, 2023

3240; Ukuaji na changamoto. Rafiki yangu mpendwa,Changamoto na ukuaji ni vitu vinavyokwenda pamoja kwenye maisha, kila kimoja kikisababisha kingine. Ukuaji umekuwa unaleta changamoto mbalimbali kwenye safari ambayo mtu yupo.Na utatuzi wa changamoto ambazo mtu anakutana nazo, unapelekea ukuaji. Ukuaji na changamoto vitakwenda pamoja kwa kipindi chote cha maisha yako.Hivyo unapaswa (more…)

3239; Utawatambua kwa matendo.

By | November 13, 2023

3239; Utawatambua kwa matendo. Rafiki yangu mpendwa,Ni rahisi sana kujua kama mtu atapata mafanikio makubwa kwenye maisha yake au la.Na njia ya kufanya hivyo siyo kusikiliza watu wanasema nini, bali kuangalia wanafanya nini. Kama anachosema mtu ni tofauti na anachofanya, amini kile anachofanya, maana huo ndiyo ukweli. Wanaofanikiwa na wanaoshindwa (more…)

3238; Akili ikikosekana, haya yawepo.

By | November 12, 2023

3238; Akili ikikosekana, haya yawepo. Rafiki yangu mpendwa,Warren Buffett amekuwa anasema unapotaka kuajiri, angalia vitu vitatu, uadilifu, akili na nguvu. Na anaendelea kusisitiza kama sifa ya kwanza haipo, hizo mbili zitakumaliza kabisa. Hizo ni sifa tatu muhimu sana kuzingatia ili kupata watu sahihi.Lakini pia ni sifa ambazo siyo rahisi kuzipata (more…)

3237; Mchezo unaocheza.

By | November 11, 2023

3237; Mchezo unaocheza. Rafiki yangu mpendwa,Maisha ni mchezo mmoja mkubwa sana ambao ndani yake kila mtu anacheza mchezo wa aina yake.Na hiyo ndiyo sababu kila mtu anapata matokeo ya tofauti na ya wengine, kwa sababu michezo haifanani. Japokuwa mchezo ni ule ule, namna ya uchezaji inatofautiana baina ya watu.Na hivyo (more…)

3236; Dawa ya uraibu na usumbufu.

By | November 10, 2023

3236; Dawa ya uraibu na usumbufu. Rafiki yangu mpendwa,Ni mwanafalsafa Seneca ambaye aliwahi kusema tatizo la muda siyo kwamba ni mchache, bali ni mwingi sana mpaka watu wanaamua kuupoteza. Alichomaanisha Seneca ni kwamba tatizo la ufupi wa muda ambalo kila mtu analilalamikia, chanzo chake kikubwa siyo muda kutokutosha, bali matumizi (more…)