Huhitaji Tena Kuomba Ruhusa…
Kuna kipindi ambapo ilikuwa kama unataka kuwa msanii ni lazima uende kwa mzalishaji wa mziki na yeye ndio angeamua kwamba unafaa kuwa msanii au la… Kuna kipindi ambapo ilikuwa ili uwe mwandishi ungeandika rasimu yako na kuipeleka kwa mhariri na yeye ndio angeamua ichapwe au la… Nyakati hizo zimepita sasa, (more…)