Tag Archives: FIKRA TOFAUTI

Hii Ni Kazi Yenye Malipo Makubwa Sana Ambayo Unaweza Kujifunza Kuifanya

By | January 3, 2015

Kazi yenyewe ni kufikiri vizuri(GOOD THINKER) Kwa nini ni muhimu sana wewe kuwa mtu wa kufikiria(GOOD THINKER) 1. Watu wanaofikiria wanahitajika sana, mtu anayejua JINSI YA KUFANYA hakosi kazi, ila anayejua KWA NINI INAFANYWA anakuwa bosi wake. 2. Watu wanaofikiri wanatatua matatizo na hawakosi mawazo ya kujenga taasisi. 3. Watu (more…)

Kuwa Kawaida Ni Kupoteza Muda Wako Na Siri Moja Ya Mafanikio Mwaka 2015

By | January 2, 2015

Ukipanda ndege kutoka sehemu moja kwenda nyingine na ukafika hilo sio jambo la kushangaza, ndio ulichotegemea. Lakini ukipanda ndege na ukapata huduma nzuri sana, ukapewa vyakula na vinywaji ya bei ghali kama upo kwenye hoteli ya nyota tano utafurahia na huenda utamsimulia kila mtu utayekutana naye. Hii inamaanisha nini? Ukifanya (more…)

Hivi ndivyo shauku inavyokufanya kuwa mteja bila ya kupenda.

By | November 24, 2014

Sasa hivi tumekuwa watu wa kuendeshwa na shauku inayotokana na hisia. Na hii imetufanya tuwe wateja kwa wanaoweza kuzitumia hisia na shauku zetu.Kwa mfano;Kuna tofauti gani kwa anayenunua simu mpya iliyotoka leo kwa kusubiria muda mrefu na atakayekuja kuinunua kesho wakati kumetulia?Kuna tofauti gani kati ya anayesikia habari mpya leo, (more…)