Tag Archives: HADITHI ZA MAFUNZO

#HADITHI_FUNZO; Zawadi Ya Matusi…

By | February 6, 2015

Palikuwa na shujaa mmoja aliyeishi miaka ya zamani. Japo shujaa huyu alikuwa amezeeka, bado alikuwa na uwezo wa kupambana na kumsinda mpinzani wake. Sifa zake zilisambaa sana na wanafunzi wengi walikuja kwake kujifunza. Siku moja shujaa mwingine kijana alikuja kwenye kijiji cha shujaa yule mzee. Alikuwa ameamua kuwa mtu wa (more…)

#HADITHI_FUNZO; Mbinu Rahisi Iliyomwezesha Jenerali Kushinda Vita Ngumu.

By | February 4, 2015

Kulikuwa na mapigano makali na jeshi la Japani lilikuwa linapambana na jeshi lingine ambalo lilikuwa linaonekana kuwa na nguvu zaidi. Generali wa jeshi la Japani aliangalia wanajeshi wake ambao walikuwa wamezidiwa namba na jeshi wanalokwenda kupambana nalo. Alikuwa na uhakika watashinda ila wanajeshi wake walionekana kujawa hofu na kukata tamaa. (more…)

#HADITHI_FUNZO; Dakika Ya Mwisho Kabla Ya Kufa…

By | February 2, 2015

Mtu mmoja alikuwa akipita msituni na hamadi akakutana na chui mkali.  Ili kuokoa maisha yake alikimbia sana. Kwa mbio zake alijikuta kwenye kona ya mteremko mkali sana. Palikuwa na mzabibu uliokuwa unaning’inia kwenye mteremko ule na hivyo akaninginia nao. SOMA; Kitu Kimoja Cha Kufanya Kila Siku Ili Ufikie Malengo Yako (more…)

Nafasi Ya Wewe Kuwa Bora Kila Siku… NA ZAWADI YA TSH 365,000/=

By | January 29, 2015

Kama mpaka sasa huna utaratibu wa kujifunza kila siku, tayari upo nyuma sana katika kufikia mafanikio kwenye jambo lolote unalofanya kwenye maisha yako. Kujifunza kila siku ni hitaji la chini sana la wewe kuweza kufikia mafanikio. Na tunaposema kujifunza kila siku ni kila siku kweli, jumatatu mpaka jumapili na kurudia (more…)

#HADITHI_FUNZO; Jinsi Ya Kuondokana Na Mzimu.

By | January 29, 2015

Bwana mmoja alikuwa na mke wake ambaye walipendana sana. Ilitokea yule mwanamke akawa anaumwa sana na asingeweza kupona. Wakati anakaribia kukata roho alimwambia mume wake nakupenda sana, tafadhali niahidi kwamba hata kama nikifa hutampenda mwanamke mwingine. Na kama ukivunja ahadi hiyo mzimu wangu utakujia na utakutesa sana. SOMA; Sehemu Tano (more…)

#HADITHI_FUNZO; Kijana Aliyeiba Shoka..

By | January 27, 2015

Mtu mmoja alipoteza shoka lake na akawa anahisi mtoto wa jirani yake ndio amemuibia. Kila alipokuwa anamwangalia kijana yule, jinsi alivyotembea, jinsi alivyoongea alionekana kabisa ndiye mwizi wa shoka lake. SOMA; Kauli Mbili Za Kuacha Kutumia Leo, Maana Zinaashiria Kushindwa. Siku moja mtu yule akiwa anafanya usafi kwenye banda lake (more…)

#HADITHI_FUNZO; Mto Unaotiririsha Watoto.

By | January 23, 2015

Kulikuwa na kundi la watu ambao walikuwa wamesimama kando kando ya mto. Mara watu wale walisikia sauti ya mtoto akilia kwenye maji. Walistuka sana kuona mtoto analia na kuzama kwenye maji. Mtu mmoja kwenye kundi lile aliruka haraka na kwenda kumwokoa mtu yule. Wakati akiwa kwenye maji, mara wakasikia sauti (more…)

#HADITHI_FUNZO; Aliyenusurika Kufa Kutokana Na Tabia Yake Nzuri.

By | January 21, 2015

Kulikuwa na mtu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye kiwanda cha kutengeneza mabarafu. Siku moja jioni watu wakiwa wameshajiandaa kuondoka kulitokea tatizo na hivyo ikadibi arudi kulishughulikia. Alipomaliza kushughulikia tatizo lile alikuwa ameshachelewa, milango ilikuwa imefungwa na taa zimezimwa. Alikuwa amenasa ndani ya kiwanda kile na hakukuwa na mwanga wala (more…)

#HADITHI_FUNZO; Kikwazo Kinavyoweza Kugeuka Kuwa Fursa.

By | January 19, 2015

Zamani kidogo mfalme mmoja aliagiza jiwe kubwa sana liwekwe kati kati ya barabara ambayo wanachi wake walikuwa wanapita. Kisha alikaa mahali na kuangalia kama kutakuwa na mwananchi atakayejaribu kuondoa jiwe lile. Watu walipita, wakakuta jiwe lile, wengine walijipenyeza pembeni wakapita. Wengine walilalamika kwa sauti jinsi gani uongozi usivyojali kuweka bara (more…)

#HADITHI_FUNZO; Huruma Ilivyomponza Chura Na Kuishia Kufa.

By | January 14, 2015

Siku moja ng’e alikuwa upande mmoja wa mto na alitaka kuvuka na kwenda upande wa pili akapate chakula. Ila nge hawezi kuogelea kwenyue maji. Wakati amekaa pale akitafakari achukue hatua gani akamuona chura. Ng’e alimfata chura akamwambia chura wewe unaweza kuogelea kwenye maji, tagadhali nisaidie nifike ng’ambo ya pili nikapate (more…)