#HADITHI_FUNZO; Kijana Aliyenusurika Kuliwa Na Mamba.
Tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki ardhi kubwa, wanyama na fedha nyingi alifanya sherehe ya kumwalika binti yake nyumbani. Binti huyu alikuwa amesafiri kwa muda mrefu nje ya nchi kimasomo. Kwenye sherehe hii tajiri huyu alialika watu wote katika aneo lile. Sherehe ilikuwa kubwa na watu walikunywa na kufurahia, ilipofika usiku tajiri (more…)