JE WAJUA; Kuhusu Ladha Ya Chakula
Bila chakula kuchanganyika na mate huwezi kupata ladha yake.Mate yanalainisha chakula na kukisambaza kwenye sehemu za ulimi zinazopima ladha. (more…)
Bila chakula kuchanganyika na mate huwezi kupata ladha yake.Mate yanalainisha chakula na kukisambaza kwenye sehemu za ulimi zinazopima ladha. (more…)
Binadamu huzaliwa na mifupa 300, lakini mpaka anapokuwa mtu mzima anakuwa amebaki na mifupa 206 tu.Kinachosababisha mifupa ipungue ni kwamba baadhi ya mifupa huungana na kutengeneza mfupa mmoja.Pia ndani ya sikio lako kuna mifupa midogo sana kama ulikuwa hujui pia. (more…)
Baadhi ya wanyama jamii ya Mamba humeza mawe na kukaa nayo tumboni kwa muda mrefu. Mawe haya huitwa gasrolith.Mawe haya humsaidia mamba mambo yafuatayo;1. Humsaidia aweze kuwa na uzito utakaowafanya wazame kina kirefu zaidi kwenye maji.2. Humsaidia kusaga chakula tumboni.3. Hufanya tumbo liwe na uzito na kujisikia ameshiba hata kama (more…)
Almasi ndio kitu kigumu kuliko vitu vyote vinavyojulikana na binadamu.Ndio inayotumika katika ncha za vifaa vya uchimbaji ja upasuaji miamba. (more…)
Wakati wa utawala wa Nazi chini ya Adolf Hitler, ujerumani ilianzisha sera ya kuua watu wote ambao walionekana ni dhaifu.Katika sera hii inasemekana watu zaidi ya laki mbili waliuawa kati ya mwaka 1940 mpaka mwaka 1945.Waliouawa walikuwa ni wagonjwa wasiopona na walemavu.Madaktari walitumika katika zoezi hili.Tukio hili pia limewahi kutokea (more…)
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa mtu kula huku akiangalia tv, simu au kompyuta.Wakati mwingine mtu anaweza kuwa anakula huku anasoma kitabu, gazeti au jarida.Hiki ni kitu hatari sana kwa afya yako. Tabia hii inakusababishia uzito wa mwili uliozidi(obesity) au kiribatumbo.Hii inatokana na kwamba wakati unakula huku unafanya jambo jingine (more…)
Libya ndio nchi ya kwanza Africa Kupata uhuru, na ilipata uhuru wake mwaka 1951, kutoka kwa Witali. Misri ilipata uhuru wake mwaka 1952 kutoka kwa waingereza. Na Ghana ndio nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata uhuru wake. Ilipata uhuru mwaka 1957 kutoka kwa waingereza. Je unajua nchi (more…)
Saturn ndio sayari kubwa inayoweza kuelea kwenye maji. Yaani density yake ni ndogo kuliko ya maji. (more…)
Kuna bacteria wengi wanaoishi kwenye kinywa chako zaidi ya idadi wa watu wanaoishi duniani. Bacteria pia wapo kwenye ngozi yako, utumbo mpana na hata sehemu ya uke. Kwa bahati nzuri bacteria hawa hawana madhara na wapo hapo kukukinga na bacteria wabaya. Nakutakia kila la kheri, TUKO PAMOJA Sasa unajua kwamba (more…)