Tag Archives: KUAJIRI WAFANYAKAZI BORA

Tatizo la kuajiri wafanyakazi wasio na sifa kwenye biashara yako.

By | July 13, 2015

Mapinduzi ya viwanda yaliyotokea takribani karne mbili zilizopita yalileta mabadiliko makubwa sana kwenye ufanyaji wa kazi. Kabla ya hapo hakukuwa na ajira rasmi na hivyo watu wengi walizalisha kwa kiwango kidogo na kubadilishana. Viwanda vilipokuja viliweza kuzalisha kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kuhitaji wafanyakazi wengi. Na kwa kuwa wafanyakazi (more…)

BIASHARA LEO; Kutojali Kwako Kunavyokuletea Hasara Kwenye Biashara.

By | June 11, 2015

BIASHARA LEO; Kutojali Kwako Kunavyokuletea Hasara Kwenye Biashara. Jana nilikuwa kwenye ofisi moja, mama mmoja akatoka kwenda kutoa fedha kwa njia ya simu na kununua vocha pia. Baada ya muda alirudi akiwa amekamilisha zoezi lake na kutaka kuingiza vocha kwenye simu. Alipoangalia akakuta amepewa vocha mara mbili ya alizoagiza. Alinunua (more…)

BIASHARA LEO; Umuhimu Wa Mafunzo kwa wafanyakazi wako na jinsi ya kuyapata.

By | June 8, 2015

Wafanyakazi wako ni watu muhimu sana kwenye biashara yako. Hawa ni watu ambao wataiwezesha biashara yako kufanikiwa au kushindwa. Wafanyabiashara wengi wamekuwa hawalipi uzito eneo la wafanyakazi. Wengi wamekuwa wakiajiri wafanyakazi kwa sababu tu ni rahisi kuwalipa na hawatawasumbua, hivyo wafanyakazi hawa wanakuwa hawana ujuzi wowote wa biashara. Kwa kufanya (more…)

BIASHARA LEO; Hatua Za Kuajiri Wafanyakazi Bora Kwenye Biashara Yako.

By | May 28, 2015

Mafanikio ya biashara yako yatategemea wafanyakazi utakaokuwa nao kwenye biashara yako. Kwanza kama unafikiria kw anini uajiri, kama bado ni mfanyabiashara mdogo na unafanya kila kitu peke yako, ni muhimu sana kuandaa mpango wa kuajiri ili wakati wa kuajiri utakapofika usipate tabu. Jua majukumu unayohitaji kuyatoa kwa wengine ili biashara (more…)

Hivi ndivyo unavyoweza kuwahamasisha wafanyakazi wako ili wawe na uzalishaji mkubwa.

By | April 20, 2015

Katika makala mbili zilizopita tumekuwa tunajadili kuhusu mteja muhimu na wa kwanza kwenye biashara yako. Tuliona mteja huyu ni mfanyakazi au wafanyakazi wako uliowaajiri kwenye biashara yako. Hawa ni watu ambao wanatakiwa kuwa washabiki wa kwanza kabisa wa kile amabcho unafanya. Wanatakiwa kuwa wanakipenda na wapo tayari kuwashawishi wengine wajihusishe (more…)