Tag Archives: KUONGEZA FAIDA KWENYE BIASHARA

BIASHARA LEO; Njia Tatu Muhimu Za Kukuza Biashara Yako.

By | June 9, 2015

Unafanyia kazi haya unayojifunza kwenye kipengele hiki cha BIASHARA LEO? Kama unafanyia tushirikishe kwenye maoni hapo chini ni jinsi gani biashara yako inabadilika. Na kama hufanyii kazi tuambie ni kwa nini? Yote tunayojifunza kwenye kipengele hiki sio vitu vya kufurahia kusoma, bali ni vitu unatakiwa kufanya. Unasoma kitu hapa na (more…)

BIASHARA LEO; Umuhimu Wa Mafunzo kwa wafanyakazi wako na jinsi ya kuyapata.

By | June 8, 2015

Wafanyakazi wako ni watu muhimu sana kwenye biashara yako. Hawa ni watu ambao wataiwezesha biashara yako kufanikiwa au kushindwa. Wafanyabiashara wengi wamekuwa hawalipi uzito eneo la wafanyakazi. Wengi wamekuwa wakiajiri wafanyakazi kwa sababu tu ni rahisi kuwalipa na hawatawasumbua, hivyo wafanyakazi hawa wanakuwa hawana ujuzi wowote wa biashara. Kwa kufanya (more…)

BIASHARA LEO; Sahau Kuhusu Kuongeza Faida Na Fanyia Kazi Kitu Hiki Kimoja Kwanza.

By | May 21, 2015

Lengo la biashara sio kutengeneza faida. Kama utakataa sentensi hiyo na una biashara fanya jaribio. Endesha biashara yako kwa lengo moja tu, kupata faida. Na hivyo tumia njia yoyote unayoona itakuwezesha kukuletea faida. Utaipata faida hii kwa muda mfupi lakini biashara haitokua, itakufa. Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa makala (more…)