Tag Archives: KUONGEZA WATEJA

BIASHARA LEO; Je Biashara Yako Inaendana Na Wateja Wako?

By | July 10, 2015

Tulishasema kwamba jambo muhimu kabisa kwenye biashara ni kujua mteja wako ni nani. Kama upo kwenye biashara na humjui mteja wako basi hujui ni nini unafanya kwenye biashara yako. Na ninaposema kumjua simaanishi kumjua kwa jina, bali kujua sifa za mteja wako kuanzia umri, kipato, anakoishi na mengine kama hayo. (more…)

BIASHARA LEO; Hili ndio tatizo la kushindana kwa bei na linavyokumaliza.

By | July 9, 2015

Tatizo la kushindana kwa bei kwenye biashara ni kwamba linawamaliza wote mnaoshindana. Watu wengi huwa wanafikiri kwamba kwa kuweka bei ndogo basi ndio wanavutia wateja wengi. Hivyo wanaweka bei ndogo na mwanzoni wateja wanakuja kweli, baadae mshindani wako naye anashusha bei na wateja wanaenda kwake tena. Mnafanya mchezo huu kwa (more…)

BIASHARA LEO; Je Umemridhisha Mteja Wako Leo?

By | July 8, 2015

Kama jibu lako ni sina mteja basi jitathmini vizuri. Kwanza kabisa kila mmoja wetu ana mteja, kama wewe ni mtu mzima na unaishi basi una mteja au una wateja wengi sana. Wateja hawaishii kwa wafanyabiashara tu. Wateja wapo kwa kila mtu. Kama wewe ni mfanyabiashara, mteja wako au wateja wako (more…)

Jinsi ya kutumia wateja wako kama sehemu ya kutangaza biashara yako.

By | June 8, 2015

Linapokuja swala la kutangaza biashara, watu hufikiria matangazo kwenye vyombo vikubwa vya habari, kupata tangazo wakati wa taarifa ya habari, ambapo watu wengi wanaangalia. Au kudhamini michezo inayofuatiliwa na wengi. Au kuweka bango kubwa kwenye eneo ambalo watu wengi wanapita. Hizi zote ni njia nzuri za kutangaza biashara yako, ila (more…)

BIASHARA LEO; Kusema Ukweli Ni Mtaji Kwa Biashara Yako.

By | May 26, 2015

Unapokuwa kwenye biashara, ni rahisi sana kudanganya ili tu mteja aweze kununua. Hali hii hutokea pale ambapo unahitaji sana kuuza na hivyo kuhakikisha mteja haondoki bila ya kununua. Unaweza kuona hili ni sahihi kwako kwa sababu, baada ya kudanganya utauza, ila kwa mwendo mrefu unaharibu biashara yako. SOMA; Makundi Matatu (more…)

BIASHARA LEO; Upya Wa Biashara Mpya Na Unavyoweza Kuutumia Vizuri…

By | May 12, 2015

Biashara mpya zimekuwa na mambo mengi sana. Kuna biashara ambazo huwa zinaanza kwa wateja wachache sana na kuna nyingine zinaanza na wateja wengi sana. Biashara zinazoanza na wateja wachache tulishajadili hapa na hatua gani za kuchukua. Kama hukupata nafasi ya kusoma makala ile isome hapa; Aina Tatu Za Wateja Na (more…)