Tag Archives: KURASA 365 ZA MWAKA 2015

UKURASA WA 108; Njia Ya Uhakika Ya Kuondokana Na Hofu.

By | April 18, 2015

Hofu ni kikwazo kikubwa kwa wengi kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao. Kama isingekuwa hifu leo hii ungekuwa mbali sana kuliko ulivyo sasa. Ndio nina uhakika kwa sababu wote tumekulia kwenye jamii ambazo zinatujaza sana hofu. SOMA; Tumia Sheria Ya Mara 2, Mara 3 Kwenye Mipango Yako Ya Biashara. Watu (more…)

UKURASA WA 107; Sema HAPANA, Hapa Ndio Uhuru Wako Ulipo.

By | April 17, 2015

HAPANA ndio neno gumu kusema kuliko maneno mengine yote. Hasa kwa watu ambao ni wa karibu au kwa vitu ambavyo unavipenda. Lakini neno hili HAPANA ndio limebeba uhuru wako. Yaani uhuru wako upo ndani ya uwezo wako wa kusema hapana. Kwa nini HAPANA ni muhimu? Tunaishi kwenye dunia ambayo ina (more…)

UKURASA WA 106; Usijaribu Kumbadili Mtu, Utapoteza Muda Wako…

By | April 16, 2015

Kuna wakati kwenye maisha huwa tunatamani watu wawe kama vile ambavyo sisi tunataka. Tunataka watu wawe na tabia zile tunazotaka na tunataka wafanye kile ambacho tunataka wafanye. Kwa kufanikisha hili, tunajaribu kuwabadili, tunawawekea masharti fulani ili wabadilike. Lakini je tunaambulia nini? Hatuambulii chochote. SOMA; Ukweli Kuhusu Maisha Ambao Kila Mtu (more…)

UKURASA WA 105; Njia Bora Kabisa Ya Kulipa Kisasi..

By | April 15, 2015

Kwanza kabisa, hakikisha hujengi uadui na mtu, jaribu kuishi bila ya kujiingiza kwenye matatizo na watu. Ila kama watu ndio watalazimisha kujiingiza kwenye matatizo na wewe basi leo nakupa njia bora kabisa ya kuweza kulipa kisasi. Labda kuna watu ambao wanakupinga sana kwa kile ambacho unafanya. Labda kuna watu ambao (more…)

UKURASA WA 104; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuibadili Dunia.

By | April 14, 2015

Kila mmoja wetu ana uwezo mkubwa wa kuibadili dunia. Kila mmoja ana eneo lake ambalo kama akiweza kulitumia vizuri itakuwa faida kwake mwenyewe na kwa wengi wanaomzunguka. Je wewe umeshapanga kuibadili dunia? Au unataka kuibadili dunia? Kama ndio karibu, na kama hujui uanzie wapi basi leo unapata pa kuanzia. SOMA; (more…)

UKURASA WA 103; Vitu Rahisi Kufanya Ndio Vyenye Matatizo Makubwa.

By | April 13, 2015

Tunaishi kwenye dunia ambayo inajaribu kurahisisha kila kitu. Kila mtu anaangalia njia rahisi ya kupata kile ambacho anataka. Kila mtu anataka kupata kitu kwa haraka zaidi na kwa urahisi sana. Ni kweli maendeleo ni pamoja na kurahisisha vitu na kuharakisha vitu. Badala ya kusafiri miezi sita kwenda ulaya kwa meli (more…)

UKURASA WA 102; Mara Zote Sema Ukweli, Ni Rahisi Kukumbuka.

By | April 12, 2015

Kuna usemi maarufu kwamba ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Sasa hebu niambie ni mambo gani unayokumbuka uliongea kuanzia mwaka huu umeanza, vipi mwaka jana, na vipi miaka mitano iliyopita? Ni vigumu sana kukumbuka kila kitu ambacho umewahi kuongea. Hivyo sehemu ya pili ya usemi huo kwmaba uwe na kumbu kumbu (more…)

UKURASA WA 101; Hakuna Atakayewakumbuka Watu Hawa.

By | April 11, 2015

Katika jambo lolote la tofauti ambalo utajaribu kufanya, kuna watu wengi sana watakupa maoni yao. Wengi watakukatisha tamaa na kukuambia huwezi. Na wataenda mbali zaidi na kukupa mifano ya watu waliojaribu na wakashindwa. Lakini kuna habari njema sana kwako. Na habari hizi ni kwamba hakuna atakayewakumbuka watu hawa. Baada ya (more…)

UKURASA WA 100; Usipige Kelele, Fanya Watu Waone…

By | April 10, 2015

Kama unaweza, huna haja ya kupiga kelele ili uonekane kwamba unaweza. Njia rahisi ya wewe kuonesha wkamba unaweza ni kufanya kile ambacho unaweza, tena ukifanye kwa ubora wa hali ya juu sana kuliko ambavyo imewahi kufanya na mtu mwingine yeyote. Kuwapigia watu kelele kwamba unaweza, kutaka na wewe uonekane kwamba (more…)

UKURASA WA 99; Fanya Kama Hakuna Anayekuangalia.

By | April 9, 2015

Kila mmoja wetu anapenda kufanya jambo fulani ambalo huenda watu wengine hawafanyi. Lakini kikwazo kikubwa kinachowazuia watu kufanya jambo hilo ni kuona wataonekanaje na watu wengine. Watu wanaogopa kukosolewa, kupingwa na hata kukatishwa tamaa. Hofu hii imewazuia watu wengi kuishi maisha ya ndoto zao na kujikuta wakiishi kama ambavyo kila (more…)