Tag Archives: KURASA 365 ZA MWAKA 2015

UKURASA WA 98; Usibabaishwe Na Watu.

By | April 8, 2015

Katika kitu kimoja unachoweza kufanya kwenye maisha yako leo na ukapata ahueni kubwa sana ni kuacha kuangalia wengine wana nini au wanafanya nini. Kuna wakati ambapo unaona kama watu wengine wanamaisha mazuri kuliko uliyonayo wewe. Unaweza kuona watu wanamagari mazuri kuliko ulilonalo wewe au huna kabisa. Unaweza kuona wengine wana (more…)

UKURASA WA 97; Hakuna Kitu Kizuri Au Kibaya.

By | April 7, 2015

Mambo mengi yanayotokea kwenye maisha yako hayana maana kabisa. Japo wewe unaweza kuona kitu fulani ni kibaya au kitu kingine ni kizuri, ukweli ni kwmaba hakuna kitu kama hiko. Kila kitu kipo kama kilivyo, uzuri au ubaya wa kitu unatokana na mtizamo wako mwenyewe. Kinapotokea kitu, mtizamo wako na mawazo (more…)

UKURASA WA 96; Kila Suluhisho Linatengeneza Tatizo, Chagua Ni Tatizo Gani Unataka.

By | April 6, 2015

Tulishakubaliana kwamba hakuna maisha ambayo hayana matatizo. Kila maisha yana changamoto zake na huwezi kuzikimbia changamoto kwenye maisha. Kama unafikiria maisha ambayo hayana changamoto basi hayo ni maisha ya ufu. Yaani maisha yako yatakoma kuwa na changamoto pale ambapo utakufa. Lakini wakati wote ambao utakuwa hai, matatizo na changamoto ni (more…)

UKURASA WA 95; Fanya Kwa Kiasi.

By | April 5, 2015

Kitu chochote unachotaka kwenye maisha yako, unaweza kukipata na pia unaweza kukikosa. Kama hutaweka juhudi kwa hakika utakikosa. Kama ukiweka juhudi kupitiliza pia unaweza kukikosa. Njia nzuri na ya uhakika ya kupata chochote unachotaka na maisha yako kuendelea kuwa bora ni kufanya kwa kiasi. Usifanye kwa chini sana na usifanye (more…)

UKURASA WA 94; Unajiambia Nini Unapoongea Na Wewe?

By | April 4, 2015

Kila mtu huwa anaongea na nafsi yake si ndio? Kila siku na kila mara kabla ya kufanya jambo lolote huwa unaiuliza nafsi yako, je hili ni jambo muhimu la kufanya? Je nitaweza kulifanya vizuri? Je wengine watanionaje nitakapolifanya? Je nikishindwa kulifanikisha itakuwaje? SOMA; BIASHARA LEO; Umuhimu Wa Hadithi Ya Biashara (more…)

UKURASA WA 93; Linda Sana Mawazo Yako.

By | April 3, 2015

Maisha yako yanatokana na mawazo yako. Kitu chochote ambacho unakifanya au unakutana nacho, hakitokei tu kwa bahati mbaya, ila kinaanzia kwenye mawazo yako. Mawazo yako yana nguvu kubwa sana ya kuumba. Na ndio yameumba kila kitu kinachoendele akwenye maisha yako. Kama mawazo yako ndio yanayotengeneza maisha yako, hii ina maana (more…)

UKURASA WA 92; Usipoteze Muda Kwa Vitu Vidogo Vidogo.

By | April 2, 2015

Tunaishi kwneye dunia yenye kelele nyingi sana. Maendeleo makubwa yaliyokuja kwenye teknolojia pia yameleta usumbufu mkubwa sana. Kwa simu hizi za kisasa tunazotumia, unaounganishwa na dunia nzima kwa masaa 24 kwa siku. SOMA; BIASHARA LEO; Ondoka, Hakuna Aliyekuita Hapa. Unaweza kuona ni kitu kizuri, kuweza kupata kila taarifa inayotokea masaa (more…)

UKURASA WA 91; Utashi, kitu muhimu kwako kufikia mafanikio.

By | April 1, 2015

Kuna vitu viwili muhimu sana unavyohitaji kuw anavyo ili uweze kufikia malengo na mipango uliyojiwekea na kufikia mafanikio makubwa. Vitu hivi viwili vinatoka ndani yako na vinaweza kukujenga au kukuangusha. Vitu hivi viwili ni nidhamu na utashi. Nidhamu tulishaijadili kwenye ukurasa wa nane. Kama hukupata nafasi ya kusoma kuhusiana na (more…)

UKURASA WA 90; Kila Sehemu Utakayokwenda Utawakuta Watu Hawa.

By | March 31, 2015

Mtu mmoja alikuwa amechoshwa na watu kwenye mji aliokuwa anaishi. Kutokana na kuchoshwa huku aliona sulhisho pekee ni kuhama mji ule maana watu wale walifanya maisha yake kuwa magumu sana. Alichagua mji mmoja wa kwenda na kabla ya kuhamia mji ule alitaka kuchunguza kwanza watu wa mji ule wana tabia (more…)

UKURASA WA 89; Sheria Tatu Muhimu Za Kufanikiwa Kwenye Maisha.

By | March 30, 2015

Watu hupenda kusema kwamba maisha hayana kanuni, yaani hakuna kanuni moja ambayo kila mtu akiifuata basi atakuwa na uhakika wa kuwa na maisha anayotaka. Pamoja na hii kuwa kweli, bado kuna sheria mbalimbali ambazo kama ukizifuata maisha yako yanakuwa bora na inakuwa rahisi kwako kufikia mafanikio. SOMA; Biashara Unayofanya Sasa, (more…)