Tag Archives: KURASA 365 ZA MWAKA 2015

UKURASA WA 77; Kama Watu Hawakupingi Unakosea Sana.

By | March 18, 2015

Kwenye kazi au biashara unayofanya, au hata maisha unayoishi kuna kipimo rahisi sana cha kuweza kujua kama unachofanya ni cha tofauti au ni cha kawaida. Kipimo hiko ni muitikio wa watu kwa kile unachokifanya. Kama kila mtu anakubaliana na wewe kwa kile unachofanya na jinsi unavyofanya basi utakuwa unafanya makosa (more…)

UKURASA WA 76; Jinsi Ushauri Unavyoweza Kufanya Kazi Kwako

By | March 17, 2015

Tunaishi kwenye jamii ambazo kila mtu anaweza kutoa ushauri kwenye jambo lolote lile. Usipokuwa makini unaweza kuchukua ushauri ambao sio mzuri na ukakuingiza kwenye matatizo makubwa au kukupotezea muda. Kuna ushauri ambao ni wa bure, ambao unatolewa na kila mtu. Hiki ni kitu hatari sana, usikimbilie kuufuata, utaumia. SOMA; USHAURI (more…)

UKURASA WA 75; Kila Mtu Ana Matatizo…

By | March 16, 2015

Kuna wakati ambao unakuwa na matatizo mengi sana kwenye maisha yako na kufikiri  kwamba kama ungekuwa kama mtu fulani huenda usingekuwa na matatizo. Labda huna kazi, unafikiri kama ungekuwa na kazi kama watu unaowaona wana kazi basi maisha matatizo yako yangekwisha. Labda wewe ni mfanyakazi wa kawaida na unafikiria kwamba (more…)

UKURASA WA 74; SAMEHE…

By | March 15, 2015

Labda tuseme kuna mtu amekuudhi sana kwenye maisha yako, amekufanyia jambo baya sana kiasi kwamba maisha yako yameharibika sana, una haki ya kumchukia, si ndio? Labda tuseme mtu huyu alifanya jambo ambalo lilikupa hasara kubwa sana kwenye maisha. Au kuharibu maisha yako sana. Au hata kujaribu kuondoa uhai wako, ila (more…)

UKURASA WA 73; Unaweza Kwenda Umbali Mrefu Kiasi Gani?

By | March 14, 2015

Unaweza kwenda umbali mrefu kiasi gani? Kwenye kazi yako, biashara yako na hata maisha yako? Unaweza kufanya kazi bora kiasi gani? Unaweza kufanya kazi nyingi kiasi gani? Unaweza kuonesha upendo wako kwa kiasi gani? Huwezi kujua umbali unaoweza kwenda kwenye jambo lolote unalofanya kama hujawahi kwenda mbali zaidi. Yaani kama (more…)

UKURASA WA 72; Unaenda Mbele Au Unarudi Nyuma?

By | March 13, 2015

Katika safari ya mafanikio, kuna hali mbili tu, kwenda mbele au kurudi nyuma. Hakuna kati kati, hakuna kwamba umesimama. Ni unaenda mbele au unarudi nyuma. Unapanda au unashuka. Unakuwa bora au unakuwa hovyo. Ndivyo hali ilivyo. Sasa kila siku hebu jiulize swali hili kabla hujalala, je leo nimeenda mbele au (more…)

UKURASA WA 71; Angalia Nyuma Kwa Lengo Moja Tu…

By | March 12, 2015

Mpaka uje kufikia kile unachotaka kwenye maisha yako, utafanya makosa mengi sana. Kuna mambo mengi utakayofanya na kukosea, na kushindwa. Ili ufanikiwe unahitaji kurudia tena na tena na tena. SOMA; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Saa Hili moja Kufikia Mafanikio Makubwa. Lakini pia ni rahisi sana kuangalia nyuma, kuona makosa uliyofanya. (more…)

UKURASA WA 70; Jua Kwa Nini Unafanya Unachofanya..

By | March 11, 2015

Kila mtu anajua NI NINI anachofanya. Hata kama hakimpi faida au hakina manufaa kwake ila anajua anachofanya. Na kama mtu hajui anachofanya basi anaweza kuwa na matatizo makubwa zaidi. SOMA; NENO LA LEO; Akili Ndogo, Akili za Kawaida Na Akili Kubwa. Baadhi ya watu wanajua JINSI YA KUFANYA wanachofanya. Ni (more…)

UKURASA WA 69; Jinsi Ya Kuondokana Na Tabia Ya Kuahirisha Mambo.

By | March 10, 2015

Najua kabisa umeshaweka malengo na mipango ambayo unatakiwa kuifanyia kazi. Na pia umeshajua uanzie wapi ili uweze kufikia kile unachokitaka. Lakini siku zinakwenda na hakuna cha tofauti unachofanya. Tatizo nini? Unapanga kuanzia kesho nitaanza kufanya kitu fulani kwenye maisha yangu au kwenye kazi yangu au kwenye biashara yangu. Lakini kesho (more…)

UKURASA WA 68; Furaha Ya Leo Ni Kikwazo Maisha Yako Yote…

By | March 9, 2015

Mara zote unajua ni kitu gani ambacho unatakiwa kufanya ili uwe na maisha bora, ili ufanikiwe. Ila kufanya kitu au vitu hivyo ndio changamoto kubwa. Unajua ili uwe na afya bora unahitaji kufanya mazoezi, kula vyakula vya afya na kuepuka vyakula vya haraka au vinavyoonekana ni vitamu. Lakini inapofika muda (more…)