UKURASA WA 67; Kama Huwezi Kufanya Miaka 50 Acha..
Jambo lolote ambalo unafanya au unataka kufanya hakikisha utakuwa tayari kulifa kwa miaka hamsini ijayo. Yaani upo tayari kufanya jambo hilo bila ya kuchoka au kukata tamaa kwa miaka hiyo hamsini. Kwa nini miaka hamsini? Kwanza mafanikio hayatatokea haraka kama ambavyo wengi wanakudanganya au utakavyofikiria. Mafanikio yatakuchukua muda mrefu kidogo (more…)