Tag Archives: MAISHA MATAMU

UKURASA WA 200; Wewe Sio Mtabiri Mzuri, Hivyo Acha Kujiogopesha.

By | July 19, 2015

Umekuwa unatabiri mambo mengi sana kuhusu maisha yako, lakini je ni mambo mangapi uliyotabiri yametokea? Ni mambo mangapi ambayo ulikuwa unayahofia, yanakunyima usingizi yametokea kweli? Nafikiri ni machache sana, kama hata yapo. Ukweli ni kwamba wewe sio mtabiri mzuri, na wala hutakuwa mtabiri mzuri kadiri siku zinavyokwenda. Umekuwa ukijitabiria kwamba (more…)